Ng'e Amazing Service

Ng'e Amazing Service Official Ng'e Amazing Service - Faceboo page

10/01/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Januari 04, 2022 amepokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo ...

07/01/2022

:

Ndugai Aamua Kujiuzulu Nafasi ya Uspika.

• Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameandika barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo katika barua hiyo amesema amechukua uamuzi huo kwa hiari yake kwa kuzingatia na kujali maslahimapana zaidi ya Taifa, Serikali na Chama chake cha Mapinduzi (CCM), Barua ya ya Kujiuzulu ameielekeza kwa Katibu Mkuu wa na Katibu wa . .tanzania.
-

UPDATE:-
|

• 👍 LIKE page yetu ya FACEBOOK - .

• 👍FOLLOW instagram - .

• 🌍 SUBSCRIBE youTube - ....

02/01/2022

All Fashion Style Choose here!

31/12/2021

: | .

29/12/2021

: Vurugu Yatokea Katika Mitaa ya MUKURU >> .

Wananchi wadai Kuwa Wanyakuzi Wanataka Kunyakua Sehemu ya Ardhi yao.
----

UPDATE:- | .

22/12/2021

MAMA MZAZI WA BONDIA HASSAN MWAKINYO, AFARIKI DUNIA.

Mama Mzazi wa Bondia, Hassan Mwakinyo anayejulikana kwa Jina la Fatima Hassan Siri amefariki dunia leo Jijini baada ya kuumwa na kulazwa kwa Siku Sita kutokana na kuwa na Uvimbe tumboni.

tunatoa pole kwa Hassan Mwakinyo, Ndugu, Jamaa na Marafiki walioguswa na Msiba huu........

UPDATE:-
| .

21/10/2021

:

SIMBA SC Vs BOTSWANA
>> [ 2 - 0 ]
-'. Mchezo ulikuwa Mzuri!
-
Update |

18/10/2021

:

CHAMA CHA -MAGEUZI KUTOSHIRIKI KIKAO CHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA. | - Dar es Salaam

18/10/2021

:

"TASAF" KUTUMIA BILIONI 5.5 KUNUSURU KAYA MASIKINI. >> .
-

UPDATE:-

14/10/2021

:

MKAZI WA KIJIJI CHA DAKAWA AUWAWA NA KUCHOMWA MOTO.

>> Mkazi wa Kijiji cha ameuawa kwa kuchomwa baada ya kuchoma Nyumba ya jirani yake (Kisa amechoma moto nyumba ya jirani yake). inasemekana huyo kabla ya Kuchomwa Moto alipigwa na Silaha za na kushambuliwa na Vitu vya Ncha kali. , .
-

UMBEA | UPDATE:-

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ng'e Amazing Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share