MwanaSpoti

MwanaSpoti Gazeti #1 la michezo Tanzania. Web: www.mwanaspoti.co.tz FB: www.facebook.com/MwanaSpoti Twitter: https://twitter.com/MwanaspotiTZ

Nunua nakala yako kila Jumanne na Jumamosi upate habari motomoto kuhusu timu, mchezaji au spoti uipendayo. A Mwananchi Communications Limited Brand.

Dirisha la usajili lafunguliwa, vita ya vigogo yaanza rasmi
09/07/2025

Dirisha la usajili lafunguliwa, vita ya vigogo yaanza rasmi

ILE vita ya vigogo vya soka nchini imeanza rasmi baada ya dirisha la usajili la Ligi Kuu, Championship, First League, Ligi Kuu ya vijana chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake kufunguliwa...

Aliyeiua Yanga anukia Azam FC
09/07/2025

Aliyeiua Yanga anukia Azam FC

AZAM FC haina utani baada ya kutambulisha kocha mpya, Florent Ibenge na nyota watatu wazawa Aishi Manula, Lameck Lawi na Muhsin Malima, lakini kwa sasa mabosi wa klabu hiyo wanadaiwa wameanza...

Dili la Bwalya laingia dosari Pamba Jiji
09/07/2025

Dili la Bwalya laingia dosari Pamba Jiji

BEKI wa kati wa Zanzibar Heroes, Abdallah Denis maarufu k**a Vivaa, amejiunga rasmi na Namungo akitokea Coastal Union ya Tanga, baada ya kusaini juzi, Jumanne mkataba wa miaka miwili.

Bocco ampisha Paul Peter JKT Tanzania
09/07/2025

Bocco ampisha Paul Peter JKT Tanzania

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Paul Peter amejiunga na JKT Tanzania akipishana na John Bocco anayetajwa kuachwa.

Makambo bado yupo sana Bongo
09/07/2025

Makambo bado yupo sana Bongo

K**A ulikuwa unadhani Heritier Makambo aliyekuwa Tabora United na kudaiwa ametimka ndo kaondoka kimoja? Umekosea, kwani jamaa bado yupo sana Bongo baada ya kudaiwa yupo hatua ya mwisho kujiunga...

Ibenge amtibulia dili beki KMC
09/07/2025

Ibenge amtibulia dili beki KMC

BAADA ya Azam FC kumtambulisha aliyekuwa kocha wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, inaelezwa kuwa dili la beki wa KMC, Raheem Shomari, limekufa baada ya kocha huyo kujiunga na Matajiri...

Kihimbwa ajifunga mwaka Mashujaa
09/07/2025

Kihimbwa ajifunga mwaka Mashujaa

TIMU mbalimbali zinaimarisha vikosi kwa kuongeza sura mpya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, miongoni mwazo ni Mashujaa ambayo tayari imewasainisha baadhi ya wachezaji.

Coastal, Pamba zatua kwa Maseke
09/07/2025

Coastal, Pamba zatua kwa Maseke

TIMU za Coastal Union na Pamba Jiji zimeingia anga za kuhitaji huduma za kipa Wilbol Maseke aliyemaliza mkataba wake na KMC msimu ulioisha akiwa na ‘clean sheet’ tatu alizozipata katika mechi...

Tanzania ilivyotoka relini michezo mingi
09/07/2025

Tanzania ilivyotoka relini michezo mingi

SIKU hizi habari za michezo katika magazeti, redio, runinga na mitandao ya kijamii zinatawaliwa na kandanda ukiwa ndio mchezo unaojulikana na kupendwa zaidi na Watanzania.

Nyuma ya pazia jeraha, upasuaji wa Musiala
09/07/2025

Nyuma ya pazia jeraha, upasuaji wa Musiala

JUMAMOSI iliyopita katika robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu ilikuwa mbaya kwa mshambuliaji wa Bayern Munich, Jamal Musiala baada ya kupata majeraha mabaya ya mguu. Aliumia mwishoni mwa...

IVERSON: Staa NBA aliyefilisiwa na matanuzi baada ya mechi
09/07/2025

IVERSON: Staa NBA aliyefilisiwa na matanuzi baada ya mechi

"Nilitumia Dola 200 milioni kwa magari na sherehe, lakini sasa nimerudi kwa kishindo kupitia biashara ya Reebok ya Shaq yenye thamani ya Dola 2.5 bilioni." Ndivyo anavyoanza simulizi yake nyota...

Hizi hapa sababu tano Sillah kusaini Yanga
09/07/2025

Hizi hapa sababu tano Sillah kusaini Yanga

KUELEKEA msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mabingwa watetezi Yanga wanadaiwa kuanza kufanya maboresho ya kikosi kwa kusaka nyota wenye uwezo wa kuongeza ushindani ili kuleta matokeo chanya katika...

Address

Tabata Relini, Along Mandela Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MwanaSpoti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Our Story

Nunua nakala yako upate habari motomoto kuhusu timu, mchezaji au spoti uipendayo. A Mwananchi Communications Limited Brand.