05/04/2019
YALIYOJIRI BUNGENI LEO TAREHE 05/04/2019 WAKATI WA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile.
ujumla sheria zilizopo zinajitosheleza kabisa kuwashughulikia wale wote wanao kutwa na hatia katika makosa ya ubakaji, kunajisi watoto wa kiume na wa k**e.
ya Makosa ya Jinai ya mwaka 1985 k**a ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002, imeelekeza adhabu kali kwa yeyote atakayebainika kutenda kosa la kumdhalilisha mtoto au kumbaka mtoto ikiwemo kifungo cha miaka 30.
hivyo, imekuwa vigumu kuwatia hatiani wakosaji hasa wa ndani ya familia kwa kukosekana kwa ushahidi.
wao wanaogopa kutoa ushahidi kutokana na hofu ya kupoteza mmoja ya wanafamilia kutokana na adhabu ya kifungo cha maisha.
inajitahidi kuweka mikakati ya kusaidia kupunguza au kumaliza kabisa tatizo hili, lakini bila ushirikiano katika ngazi zote za familia, haitokuwa rahisi.
inatoa rai kwa jamii kutomaliza masuala ya kijinsia ndani ya familia na badala yake ushirikiane na Serikali ili Sheria ichukue mkondo wake.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Joseph Kakunda.
imeweka vipaumbele vitatu ambavyo, ndivyo tunavyoviwekea msisitizo wa uwekezaji kwenye Sekta ya Viwanda.
hivyo ni viwanda vya kusindika mazao ya kilimo ili kuongeza thamani sambamba na kulinda jasho la mkulima.
vya kutengeneza bidhaa za majumbani k**a vyakula, nguo, samani na bidhaa tegemezi kwenye sekta ya ujenzi k**a sementi na mabati ili kuharakisha ubora wa maisha na maendeleo.
cha tatu ni viwanda vinavyoajiri watu wengi kwa ajili ya kuhakikisha ajira kwa vijana.
la Muhogo ambalo ni maarufu kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara na Kigoma kwa sasa limepewa kipaumbele maalum Duniani.
na ukweli kwamba muhogo hausindikwi kutengeneza unga wa ugali, uji, biskuti au mkate peke yake bali unga wa Muhogo unatumika sana kwa sasa kwenye uunganishaji wa chuma, mbao, kutengeneza gundi na matumizi mengine mengi.
la muhogo Ulaya, Marekani na China ni kubwa sana kwa sasa. China peke yake inahitaji tani milioni mbili na nusu za muhogo kwa mwaka.
na ukweli huo, kasi ya ujenzi wa viwanda vya kusindikika muhogo ni kubwa, mwaka huu peke yake ukiacha viwanda Vitano vinavyonunua muhogo wa mkulima kwa sasa, viwanda vipya Viwili vitakuwa vimefunguliwa kabla ya Juni, 2019 kimoja Lindi na kingine Pwani.
Imeandaliwa na Idara ya Habari - MAELEZO.