Mama Samia Suluhu Hassan 2025

Mama Samia Suluhu Hassan 2025 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mama Samia Suluhu Hassan 2025, Media, Dar es Salaam.

❤️Our President from 2025 onwards
Raisi wetu wa 2025 na kuendelea
❤️👇support 2025 Gusa hapa chini 👇/ Click 👇👇👇
https://www.youtube.com/channel/UCEybk4mgoWM43ndjOkA5unA?sub_confirmation=1

Kazi iendeleee
27/04/2025

Kazi iendeleee

26/04/2025

VIDEO ONLY: These are the last images of Pope Francis’ open casket
These are the last images of Pope Francis.

Download SAINT app here:VIDEO ONLY: These are the last images of Pope Francis’ open casket https://apps.apple.com/es/app/saint-catholic-lifestyle/id6670555256?l=en-GB

🔔 Subscribe to our channel, and activate notifications: https://www.youtube.com/channel/UCxshhzR907v2w6DjICyAgLQ?view_as=subscriber

👥 Follow us on our social networks:
Instagram: https://www.instagram.com/romereports/
Twitter: https://twitter.com/romereports
Facebook: https://www.facebook.com/RomeReportsENG
Telegram: https://t.me/Rome_Reports

💻 And you can also visit our website:
https://www.romereports.com/

Ijumaa kareem Kipenzi chetu,
26/04/2025

Ijumaa kareem Kipenzi chetu,

Au-delà de son rôle de présidente, elle n'oublie pas ses racines et ses valeurs familiales. Un rappel que la force et la...
25/04/2025

Au-delà de son rôle de présidente, elle n'oublie pas ses racines et ses valeurs familiales. Un rappel que la force et la douceur peuvent coexister. Samia Suluhu Hassan, un modèle de résilience et de détermination✊

Hakika Mwenye kusubiri yupo pamoja na Mwenyezi Mungu,,,,,  .
23/04/2025

Hakika Mwenye kusubiri yupo pamoja na Mwenyezi Mungu,,,,,

.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya fedha zilizotumika kuendesha mradi wa urekebu wa sheria, toleo la mwaka 2023, ...
23/04/2025

Rais Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya fedha zilizotumika kuendesha mradi wa urekebu wa sheria, toleo la mwaka 2023, ni shilingi bilioni 10.

Akizungumza mkoani Dodoma katika Ikulu ya Chamwino wakati wa hafla ya uzinduzi wa toleo la mwaka 2023 la sheria zilizofanyiwa urekebu, Rais Samia ameendelea kusema kuwa ni jambo la fahari kuwa fedha hizo zimetolewa na Serikali na kwamba wataalamu waliofanya kazi hiyo wanatokea nchini Tanzania.

“Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalolizindua leo, limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 zimetumika kwenye hili.”

“Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini sikuwa najua kiasi gani. Leo naambiwa bilioni 10 zimetumika kwenye kazi hii. Lakini jingine ni lile lililosemwa hapa kwamba wataalamu waliofanya kazi hii ni wa kwetu, ndani humu, ukilinganisha na lile la mwaka 2002 ambalo Benki ya Dunia ilifadhili wakati ule na wataalamu kutoka nje ndiyo walifanya kazi hiyo,” amesema Rais Samia.

Rais Samia amesema jambo jingine linaloleta kujivunia zaidi ni kwamba, katika hali ya kujitegemea, sheria hizo zimechapishwa na mchapishaji anayetokea nchini Tanzania, akimtaja kuwa ni Taasisi ya Mkuki na Nyota.

📸✍️

President Samia Suluhu Hassan has expressed deep sorrow following the news of the passing of Pope Francis, the head of t...
23/04/2025

President Samia Suluhu Hassan has expressed deep sorrow following the news of the passing of Pope Francis, the head of the Roman Catholic Church.

In a heartfelt message, she paid tribute to the Pope’s 12-year leadership, describing him as a teacher and a leader whose life was dedicated to promoting peace, human development, and global wellbeing.
Mama Samia Suluhu Hassan 2025
The Citizen

https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/tanzanian-president-samia-mourns-the-death-of-pope-francis-5011280

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Krist...
23/04/2025

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo.

Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu; juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa majukumu yetu popote pale tulipo; juu ya kuendelea kujenga jamii inayoishi katika kweli; na juu ya haki ambazo daima huambatana na wajibu kwetu sote.

Kwa pamoja, tuendelee kuliombea Taifa letu kheri, huku tukiishi na kutenda yale yanayoiwezesha nchi yetu kuendelea kubaki kuwa moja, imara, yenye amani na utulivu. #

Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miak...
23/04/2025

Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake k**a mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza ustawi na maendeleo ya watu pamoja na kudumisha amani.

Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatuma salamu za pole kwa waumini wote wa Kanisa Katoliki hapa nchini na duniani kote.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi.

Amina.

Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston ...
23/04/2025

Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon). Umefanya kazi nzuri.

Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini, kwenye mazoezi hadi kwenye mashindano, ukilibeba kwa heshima ya hali ya juu jina la nchi yetu.

Endelea kuipeperusha vyema bendera ya Taifa letu. ❤️

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti n...
18/04/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023-2024 pamoja na Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ikulu Jijini Dar es Salaam

Nani k**a Mama ❤️Dkt Samia Suluhu Hassan
18/04/2025

Nani k**a Mama ❤️

Dkt Samia Suluhu Hassan

Zawad ya watanzaniaBelieve in yourself and all that you are. Know that there is something inside you that is greater tha...
18/04/2025

Zawad ya watanzania
Believe in yourself and all that you are. Know that there is something inside you that is greater than any obstacle.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Samia Suluhu Hassan 2025 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mama Samia Suluhu Hassan 2025:

Share

Category