Ona Stories

Ona Stories Ona is news, stories and insight for today's connected Africa Ona helps you find and tell your story well. Change minds, win hearts or both!

Tanzania's first AR, VR and Story-doing company

08/10/2022

A few months ago, Tulanana had the opportunity of sharing her thoughts on what the future of journalism looks like with regards to Metaverse presence.

Watch the talk here.
https://www.youtube.com/watch?v=dSoRA6CKd_U

03/10/2022

Opportunities are laid out for you to grab them. Time to earn new skills.

Register here and start classes today.

https://bit.ly/ARVR_AFRICA

Je, ungependa kujifunza ujuzi wa XR, kutengeneza pamoja na kutatua matatizo ya jamii kupitia XR? Huu ndio wakati wa kuon...
30/09/2022

Je, ungependa kujifunza ujuzi wa XR, kutengeneza pamoja na kutatua matatizo ya jamii kupitia XR?

Huu ndio wakati wa kuonyesha uwezo wako jiandikishe haraka AR/VR Africa Metathon.

Jiandikishe hapa: https://bit.ly/ARVR_AFRICA

29/09/2022

Jifunze Virtual Reality (VR), Augmented reality (AR) na Extended Reality (XR) bure !!!

Je, unajua kwamba utapewa usaidizi wa kifedha na kiushauri ili kujenga ubunifu bora (MVP) ikiwa timu yako itashinda nafa...
28/09/2022

Je, unajua kwamba utapewa usaidizi wa kifedha na kiushauri ili kujenga ubunifu bora (MVP) ikiwa timu yako itashinda nafasi ya 1 katika nchi yako kwenye Metathon ya AR/VR Afrika?

Hujachelewa kujiunga.

Jisajili LEO

The 2022 AR/VR Africa Metathon! Register and join an African community of AR/VR professionals and enthusiasts, access learning resources and tackle online challenges.

28/09/2022

Have you started your classes already? 🤓

Register now !!!

LINK IN BIO 😃

Mafunzo ya AR/VR Africa Pre-Hackathon yameshanza kwenye APP ya Discord.Kutana na wakufunzi wetu wa AR/VR ambao watafundi...
26/09/2022

Mafunzo ya AR/VR Africa Pre-Hackathon yameshanza kwenye APP ya Discord.

Kutana na wakufunzi wetu wa AR/VR ambao watafundisha washiriki na kutoa nyenzo wanazohitaji ili kuanza safari yao ya XR na ujuzi wa juu katika hilo.






Jisajili sasa k**a bado kupitia link hii.
https://bit.ly/ARVR_AFRICA



23/09/2022

Je, unajua kwamba unahitaji hatua 5 pekee ili kukamilisha usajili wa AR/VR Africa Metathon 2022? Ndiyo, ni rahisi hivyo 😊

Video hii fupi imerahisisha mchakato wa usajili kwako. 💫

Chukua hatua sasa na ujiandikishe kwa kubofya link hii
https://bit.ly/ARVR_AFRICA

Mafunzo yetu ya AR/VR Africa Pre-hackathon yanaendelea na wakati mzuri zaidi wa kuingia ndani bila shaka ni sasa! 🚀

Habari njema! 🤩🥳AR/VR Africa Metathon sasa iko wazi kwa wabunifu, watayarishaji programu ‘Programmers’, wabunifu wa UI/U...
21/09/2022

Habari njema! 🤩🥳

AR/VR Africa Metathon sasa iko wazi kwa wabunifu, watayarishaji programu ‘Programmers’, wabunifu wa UI/UX, wasanii, wahuishaji ‘Animators, wasimulizi wa hadithi, wataalamu na wanafunzi wa Afrika.

Jifunze ujuzi mpya au kukuza ujuzi wa juu katika XR, Mtatengeneza suluhisho kupitia Timu mtakayotengeneza, ushinde zawadi ya pesa na ujiunge na kambi ya mafunzo.

Jisajili Hapa: https://bit.ly/ARVR_AFRICA

10/06/2022

Here's some highlight of our recent Augmented Reality Photo Exhibition for USAID Impact Book Launch graced by Tanzania Deputy minister for agriculture, Hon. Anthony Peter Mavunde.
A good story creates a personal connection, takes you on a journey and most importantly, inspires action.
The tools of storytelling have evolved over time. We went from the spoken word to books to movies to enhancing our reality with AR (Augmented Reality). The immersive character of Augmented Reality makes it the perfect vehicle to tell your story in 3D and have your audience dive into it.

28/04/2022

OPEN CALL ANNOUNCEMENT 📢

Calling all artists and technologists in Nairobi, Kampala and Dar es Salaam.

Are you an interdisciplinary creative who has an interest in civic journalism, digital advocacy, internet democracy and social justice? Do you want to add Augmented Reality (AR) to your creative practice?

, and invite artists and technologists who are exploring issues around civic or social issues and digital storytelling to apply for the “Storytelling Through AR Workshops"

Deadline is 17 May 2022 at 23:59 EAT

*Apply here*

https://lnkd.in/dBxc5_Qi

The VR for GBV hackathon by   .kreimer   is today. The hackathon has brought together GBV Stakeholders from Tanzania  an...
10/03/2022

The VR for GBV hackathon by .kreimer

is today.

The hackathon has brought together GBV Stakeholders from Tanzania  and East Africa (organization founders/ representatives) to brainstorm and crowdsource ideas on how VR technology can be incorporated in GBV work (in awareness raising, interventions or helping victims deal with trauma).

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ona Stories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ona Stories:

Share