IK MZIKI

IK MZIKI IK MZIKI KISIMA CHA BURUDANI

“Kwa nini baadhi ya madansa hawapewi heshima licha ya kuchangia show iwe kali? “Madansa huleta uhai, energy, na vibe sah...
27/11/2025

“Kwa nini baadhi ya madansa hawapewi heshima licha ya kuchangia show iwe kali? “

Madansa huleta uhai, energy, na vibe sahihi — lakini wengi hubaki gizani bila kutambuliwa.
Je, ni changamoto ya tasnia au ni jamii inawapuuzia?
Toa maoni yako hapa

“Ubunifu ni k**a misuli – ukiacha kuutumia, unadumaa.”— S2kizzy, Mtayarishaji wa Muziki (Producer) kutoka TanzaniaUjumbe...
27/11/2025

“Ubunifu ni k**a misuli – ukiacha kuutumia, unadumaa.”
— S2kizzy, Mtayarishaji wa Muziki (Producer) kutoka Tanzania

Ujumbe: Kila msanii au producer anatakiwa kubaki mwenye njaa ya ubunifu. Jitahidi kila siku kufanya kitu kipya, jaribu mawazo mapya, na usiogope kushindwa. Kila jaribio ni hatua kuelekea ubora zaidi.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

26/11/2025

Kwenye Singeli Vovote Unavotaka Poa Tuh !!!

26/11/2025

Mama Kashtuka Michezo Ya Kuaidiwa Ndoa Anaijua !!!

26/11/2025

Ila Wanawake Apana !!!

26/11/2025

Mama Kamkataa Kingamuzi Mchana Kweupe !!!

26/11/2025

Mziki wa Singeli ni burudani ya kipekee lila Mtu na Stayle Yake !!!

Msanii maarufu wa Tanzania Con Bezzy anajiandaa kurejea rasmi katika ramani ya muziki kwa kuachia track mpya inayofahami...
26/11/2025

Msanii maarufu wa Tanzania Con Bezzy anajiandaa kurejea rasmi katika ramani ya muziki kwa kuachia track mpya inayofahamika k**a “Mbili Nne”.

Baada ya kuwa kimya kwa muda, Con Bezzy amerudi akiwa na nguvu mpya, na mashabiki wanatarajia kusikia kazi kali itakayotikisa mitaa na majukwaa ya muziki.

Endelea kufuatilia kwa update zaidi kuhusu ujio huu!

Artist : MakomandoSong : SasanuvoDOWNLOAD 👇
25/11/2025

Artist : Makomando
Song : Sasanuvo

DOWNLOAD 👇

Also, check more tracks from Makomando;

Address

Dar Es Salaam
0001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IK MZIKI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to IK MZIKI:

Share