05/08/2026
Ukifanyiwa au kumfahamu muathirika wa ukatili, fahamu kuwa wasaidizi wa kisheria wanatoa huduma bure, kuanzia ushauri hadi haki kupatikana. Ni muhimu kuwatumia kwa sababu wanapatikana kwa urahisi, ni bure, na wanatoa mwongozo wa haraka bila zengwe! usifiche ukatili, tafuta msaada leo! ⚖️🤝!