New Moost Cinema

Short film ya shujaa wangu ipo YouTube ili kuiangalia bonyeza👇
12/10/2025

Short film ya shujaa wangu ipo YouTube ili kuiangalia bonyeza👇

SWAHILI 👇Msongo wa mawazo unaotokana na matatizo ya mahusiano kati yake na mpenzi wake unamfanya aidan kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na ku...

SHUJAA WANGUMsongo wa mawazo unaotokana na matatizo ya mahusiano kati yake na mpenzi wake unamfanya aidan kujiingiza kwe...
09/10/2025

SHUJAA WANGU
Msongo wa mawazo unaotokana na matatizo ya mahusiano kati yake na mpenzi wake unamfanya aidan kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na kupelekea jamii kumtenga.
Pamela ni binamu yake Aidan anaamua kuwa SHUJAA WA AIDAN kwakumsaidia kumtoa kwenye uraibu wa madawa ya kulevya na kumrejesha kuwa mtu mwenye kuthaminiwa na jamii
:::::::;;;;
Pengine waathirika wa uraibu wakaonekana ni watu hatari sana kwenye jamii kiasi kila mmoja anajiuliza anawezaje kumshika mkono mmoja wao na kujaribu kumuelimisha.
Lakini itambulike kuwa kila mraibu anae ndugu, jamaa ama rafiki ambe kabla ya yeye kuwa mraibu walizoeana vya kutosha hivyo baada ya yeye kuwa mraibu isiwe sababu ya rafiki, ndugu ama jamaa kumtenga bali kujua sababu iliyompelekea kuingia kwenye uraibu na kuendelea kumsaidia ili atoke kwenye uraibu.
Tusiwatenge na kuwanyooshea kidole kwani sisi tuliowazoea/waliotuzoea ndio MSAADA WAO basi tusimame upande wao na kuwashika mkono na tuwe Mashujaa kwao.
Hii ni filam fupi itakayoruka kwa mara ya kwanza tarehe 12 October 2025 kupitia YouTube ya New Moost Cinema.

Ulevi na unyanyasaji wa mzee lugendo (mzee jangala) umekuwa mwiba mchungu kwa binti yake mdogo (Minaa) unaopelekea kumny...
05/10/2025

Ulevi na unyanyasaji wa mzee lugendo (mzee jangala) umekuwa mwiba mchungu kwa binti yake mdogo (Minaa) unaopelekea kumnyima amani na furaha ya maisha yake ikiwa ni pamoja na kumpokonya haki zake k**a mtoto. hii ni filam fupi inayomuongelea minaa lugendo (Aisha kiseto) filam hii ipo YouTube muda huu: kuiangalia filam hii bonyeza hapa👇

SWAHILI 👇 {BINTI}Alipokuwa mjamzito ulikuwa ni wakati wa furaha na matarajio makubwa kwao, lakini baada ya kujifungua hali ilibadilika na manyanyaso kutoka ...

04/10/2025

{BINTI}
Alipokuwa mjamzito ulikuwa ni wakati wa furaha na matarajio makubwa kwao, lakini baada ya kujifungua hali ilibadilika na manyanyaso kutoka kwa baba wa mtoto (Mzee Lugendo) yakaanza.
Unyanyasaji na chuki zilipelekea mtoto kunyimwa haki zake za kimsingi kwa sababu baba yake hakutarajia kuwa angezaliwa BINTI.
Hii ni filamu fupi inayomhusu Minaa Lugendo (Aisha Hassan Kiseto)
usikose kuiangalia filam hii fupi inayoruka tarehe 5/10/2025 kwenye channel ya YouTube ya New Moost Cinema mida ya saa tatu kamili za Asubuhi

Ili kutazama Kazi Zangu Tembelea Youtube ya NEW MOOST CINEMA/ SAPOTI YAKO muhimu kwangu/LIKE/SUB/COMENT👇
https://www.youtube.com/channel/UCbflIbCo6r7HcU6fGBBU63A

01/10/2025
30/09/2025
29/09/2025
28/09/2025
27/09/2025
26/09/2025
25/09/2025
24/09/2025

Address

Magomeni Usalama
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 11:45 - 22:00
Tuesday 11:45 - 22:00
Wednesday 11:45 - 22:00
Thursday 11:45 - 22:00
Friday 11:45 - 22:00
Saturday 11:45 - 22:00
Sunday 11:45 - 22:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Moost Cinema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to New Moost Cinema:

Share