27/06/2025
π Selash Tech GPS Tracker β Usalama na Ufuatiliaji wa Kipekee! π°οΈ
Fuatilia gari, pikipiki au bajaji yako muda halisi kupitia simu au kompyuta. Pata taarifa kamili za historia ya safari β mahali gari lilikwenda, muda wa kusimama, na njia iliyotumika.
Weka geofence (ukuta wa ramani) na pokea arifa gari likitoka nje ya eneo.
GPS yetu hutuma arifa ikiwemo gari kuwashwa, kuondoka, kasi kupita kiasi, vibration au wizi.
Unaweza pia kuzima injini kwa mbali, k**a hatua ya kuzuia wizi. Mfumo huu pia huboresha nidhamu ya madereva, hupunguza matumizi ya mafuta hadi 40%, na kusaidia kutambua matumizi mabaya ya gari.
Pata ripoti sahihi za kila siku kuhusu safari, matumizi ya mafuta na mwenendo wa madereva. Hii hukusaidia kufanya maamuzi ya msingi kwa biashara au matumizi binafsi.
Unaweza kushirikisha wateja linki ya ufuatiliaji kwa uwazi zaidi. Pia, baadhi ya kampuni za bima hupunguza gharama kwa magari yenye GPS, na hutumia ripoti hizi k**a ushahidi wa kuepuka madai ya uwongo.
π― Mwisho wa siku, unapata utulivu wa akili kwa kujua gari lako lipo salama, na halihitaji kufuatwa kwa simu kila mara.
π Kwa nini uchague Selash Tech?
β
Wataalamu waliobobea
β
Ufungaji bure Dar es Salaam
β
TZS 150,000 tu β hakuna ada ya mwezi
β
Msaada kupitia simu/WhatsApp π 0714 592 047