Big City Breakfast

  • Home
  • Big City Breakfast

Big City Breakfast Tuma ujumbe mfupi ama WhatsApp kuenda namba +255 742 111 777 uungane na Timu BCB!

Kutana na watangazaji nguli Bobby Mongi, Evans Bukuku na ML Cris katika BIG CITY BREAKFAST ya 92.5 Mjini FM kila siku kuanzia 600am mpaka 900am Jumatatu hadi Ijumaa! Vuvuzela Comedy Show features a variety of comedy genres in this unique, wacky yet edutaining show including; sketch, satire, standup comedy, reality to mention a few.

22/07/2025

🎭 Leo ni usiku wa TUONEKANE WOTE!

Hii siyo tu show ya vicheko — ni reunion ya vipaji, ndoto, na watu wanaopenda burudani ya kweli! 🙌🏾
K**a una kipaji, au unajua kucheka tu, wewe ni sehemu ya jukwaa hili!

Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya familia ya Punchline —
leo tunawakilisha hadharani! 😂🔥

📅 Leo – Jumanne Usiku
🕖 Saa 1 kamili usiku (7:00 PM sharp)
📍 Punchline Comedy Club, The Cube (Slipway)
💥 KIINGILIO BURE!

22/07/2025

😂😂😂 Is this a couple or just two strangers who laughed at the same joke and fell in love instantly? 😍🎤
Audience, help us out — real romance or just vibing for the camera? 📸🤣

Either way... Welcome to Punchline this Friday!
Where anything can happen — even love at first laugh 💘😂

📆 Friday, July 25th | 🕗 8PM Sharp
📍 Cube Building Basement – Slipway Rd, Masaki
🎟️ EARLY BIRD: 30,000 // DOOR: 40,000
📲 M-Pesa: 58202122 | MixxYas: 15507324
📞 TEXT ONLY: +255 787 145 377

🔞 18+ | 🎭 100% English Comedy | 🎥 No Recordings

22/07/2025

Na k**a hiyo haitoshi…
DOLA nayo ilishuka! 🫣
Si kwa bei tu, bali hadi moral standards! 😂
Watu wakaanza kuuliza: “Hii Dola imeshapanda huko kwako?”
Yani mpaka ATM zenyewe zikaanza kuchoka kutoa mihela isiyo na thamani ya maadili 😅

Haya mambo yote…
YANASUBIRIWA kwenye –
kipindi pekee chenye UONGO wa kumwaga na UKWELI kwa mbaaaaali!
Ukiongozwa na host wako mtaani k**a kawaida – 🎤

Sanaa hii imepewa nguvu ya kiajabu na:
🎭
🇫🇷 x

Na washirika wetu wa miujiza:
.tanzania
.republic




🎬 K**a hela inarudi, na Dola inashuka… basi Subiri ! 😂🔥

22/07/2025

😂 Hata k**a hujui ulipotokea wewe...
Njoo ungana nasi leo kwenye Open Mic! 🎤🔥

Hapa hakuna hukumu — kuna kicheko, kipaji, na nafasi ya kuwa wewe halisi!
Cheka, burudika, ama panda jukwaani uachie yako! 😄

📅 Leo – Jumanne Usiku
🕖 Tunaanza saa 1 kamili (7:00 PM sharp)
📍 Punchline Comedy Club, The Cube (Slipway)
💥 KIINGILIO BURE!

21/07/2025

Front seats are always for the special ones — whether you're rich, got a pot belly, or rocking that tummy-flat life 😎😂
And let’s be honest… they laugh the loudest, especially at jokes about politics, money, and business drama 💼💸😂

We want to know about YOU...
🪑 Are you pulling up Front, Centre, Back, on a Stool, in the VIP Booth, or going full Coach mode?
Choose your vibe — just don’t miss it!

📆 Friday, July 25th
🕗 8PM Sharp
📍 The Punchline, Cube Building Basement – Slipway Rd, Masaki

🎤 Featuring Marcus Ryan 🇦🇺 & comedians from 🇺🇸 🇸🇪 🇹🇿
🎟 EARLY: 30,000 /= | DOOR: 40,000 /=
📲 M-Pesa: 58202122 | MixxYas: 15507324
📞 TEXT ONLY: +255 787 145 377

🔞 Strictly 18+ | 🎭 100% English | 🎥 No Recordings

21/07/2025

😂 Haya mashairi bhana 🙌🏾 tumeyavulia kofia!

Sasa k**a una kipaji chochote — iwe ni ucheshi, mashairi, uchawi au sauti ya kuvutia...
Tukutane KESHO kwenye Open Mic! 🎤🔥

📅 Jumanne Usiku
🕖 Tunaanza saa 1 kamili (7:00 PM sharp)
📍 Punchline Comedy Club, The Cube (Slipway)
💥 KIINGILIO BURE!

🪄 This is  – The Magician Extraordinaire! 🎩✨As our special guest star at the Punchline booth,  brought a whole new kind ...
20/07/2025

🪄 This is – The Magician Extraordinaire! 🎩✨

As our special guest star at the Punchline booth, brought a whole new kind of magic to Sabasaba 2025!

His presence added the perfect twist of surprise, wonder, and excitement – creating unforgettable moments for everyone who stopped by.

Watu walishangaa, walicheka, na walifurahia kweli kweli – na yote ni kwa sababu ya this talented magician who knows how to turn any crowd into believers! 🙌🏾

Big thanks to for adding pure abracadabra energy to our space!








19/07/2025

At Punchline Comedy Club, we have a tradition of coming together to build jokes as a team. Today’s session was all about crafting material in English.

Nothing just happens by accident — every punchline is built on a solid foundation, countless rewrites, and asking “what if?” over and over again before it ever reaches the stage.

The grind behind the laughs. 🎤💥

Address


Opening Hours

Monday 06:00 - 10:00

Telephone

+255742111777

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Big City Breakfast posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share