The Brown Production

The Brown Production Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Brown Production, Media/News Company, Dar es Salaam.

Welcome to The Brown Production
03/08/2015

Welcome to The Brown Production

New offer for videos and photos Dar es salaam (wedding, parties, all events)Videos - 110,000/=Photos @100 - 50,000/=
03/08/2015

New offer for videos and photos Dar es salaam (wedding, parties, all events)
Videos - 110,000/=
Photos @100 - 50,000/=

Dar mvua ikinyesha ni shidaaaahh
22/03/2015

Dar mvua ikinyesha ni shidaaaahh

13/12/2014

Maisha ni raha, nawatakieni wikend njema

nataman niwe huko siku moja
09/11/2014

nataman niwe huko siku moja

Mtazamo wangu.... Siwez kumuunga mkono Ukawa wala CCM kwa sababu wanachopigania ni maslah ya Serikali kuu na uongozi wao...
15/09/2014

Mtazamo wangu.... Siwez kumuunga mkono Ukawa wala CCM kwa sababu wanachopigania ni maslah ya Serikali kuu na uongozi wao binafsi. Serikali 3, 2 au 1 nipo radhi ilimradi niwe huru na niishi Tanzania kwa amani yetu ile ile

Tanzania tukiambiwa tupitishe sheria ya jinsia moja, je tutakubali kupitisha au ni bora tukose misaada???
25/02/2014

Tanzania tukiambiwa tupitishe sheria ya jinsia moja, je tutakubali kupitisha au ni bora tukose misaada???

John Kerry asema uidhinishaji wa sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja Uganda unakiuka haki za binaadamu.

17/02/2014

Nilipoanzisha hii page nilikuwa na vyanzo vingi vya habari, lakin sasa maisha yangu yamebadilika napata udaku tu. Kwa hy nimefikiria hii page ibadilishe maudhui iwe ya "vituko uswahilini"
lakin kabla ya kufanya maamuzi naomba ushauri wenu wadau

17/02/2014

Jumatatu njema.
Tufanye kazi kwa bidii kujenga taifa letu

Nadhani mheshimiwa anafanya mengi sana mazuri lakini wanaomponda sielewi wanazingatia nn!
16/02/2014

Nadhani mheshimiwa anafanya mengi sana mazuri lakini wanaomponda sielewi wanazingatia nn!

11/12/2013

Tanzania

10/12/2013

Tukishinda wa2 vicheko, leo 2mefungwa bac ma2si yote yanawaendea wachezaji. Tunatakiwa 2jue kuwa hata kenya nao ni wazuri na walikuwa wanashangiliwa kutoka kila kona ya uwanja. Tushukuru kwa yote, popote ulipo relax, kula bata maisha yasonge. K**a si leo, bac kesho. Hongeren mashujaa wetu kili stars kwa kutufurahisha mpaka hapo.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Brown Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share