Ramadhani J Haji

Directions Website

Ramadhani J Haji �YouTube KRAMAZ TV
�Instagram
�Tiktok

📰 ZAYTUN SEIF SWAI ATEULIWA KUWA MKUU WA WILAYA YA KOROGWERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Has...
30/09/2026

📰 ZAYTUN SEIF SWAI ATEULIWA KUWA MKUU WA WILAYA YA KOROGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bi. Zaytun Seif Swai kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mkoa wa Tanga.
Uteuzi huo ni miongoni mwa uteuzi na uhamisho wa Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri uliotangazwa tarehe 29 Septemba 2026, na umeanza kutekelezwa mara moja.

Kramaz_dc
Kramaz_digital

MKUU WA KITUO CHA POLISI MOMBO AKUTANA NA MADEREVA WA BAJAJIMombo, Tarehe 24 Septemba 2026 —, SP J.K. Mwembele, amekutan...
24/09/2026

MKUU WA KITUO CHA POLISI MOMBO AKUTANA NA MADEREVA WA BAJAJI
Mombo, Tarehe 24 Septemba 2026 —, SP J.K. Mwembele, amekutana na kufanya mazungumzo na madereva wa bajaji mjini Mombo, ambapo amewataka madereva hao kuzingatia nidhamu, usalama barabarani na huduma bora kwa abiria.
Katika mazungumzo hayo, SP J.K. Mwembele alisisitiza mambo mbalimbali muhimu kwa madereva wa bajaji, yakiwemo:
Kuheshimiana miongoni mwa madereva na wananchi kwa ujumla.
Kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kupunguza ajali na kulinda maisha ya watumiaji wote wa barabara.
Kutumia vizuri na kwa busara kipato wanachopata, badala ya kutumia fedha bila mipango.
Kudumisha upendo, mshikamano na ushirikiano miongoni mwa madereva.
Kufuata utaratibu na maelekezo yanayotolewa na viongozi kwa ajili ya ustawi na usalama wa jamii.
Aidha, SP Mwembele amesisitiza umuhimu wa madereva wa bajaji kuwa na lugha nzuri, heshima na ustaarabu wanapowahudumia abiria, akiwataka kuzingatia huduma bora kwa wateja (Good Customer Service).

12/09/2026

Wazee wa mirungi mpoo?

12/09/2026

Na wewe ndo unayokoroma hivi usiku ni vile tu hujioni��

Hili vazi limetrend sana kwenye mitandao ya kijamii nashindwa kuelewa ni kwanini.. Hebu tueleze kwenye comment section.....
12/09/2026

Hili vazi limetrend sana kwenye mitandao ya kijamii nashindwa kuelewa ni kwanini.. Hebu tueleze kwenye comment section... Kwanini vazi hili limetrend??

08/09/2026
 : MUME WA RAIS SAMIA AFARIKI DUNIAMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, a...
07/09/2026

: MUME WA RAIS SAMIA AFARIKI DUNIA

Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki dunia leo septemba 7, 2026.

Taarifa za kifo hicho zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, kupitia vyombo vya habari.

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramadhani J Haji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category