04/10/2024
Natamani kukuita kwa jina lako halisi lenye mvuto mzuri kwenye Tasnia ya taarabu namaanisha utangazaji..ulikuwa mwalimu bora kwa kila mtu ambaye mwenye ndoto za utangazaji wa Taarabu
KAOLE SANAA GROUP
Dah walikuwa hawajui k**a ulishawahi kupigania umaarufu wa kuigizaji miaka ya 2003 pale kwenye kundi la kaole sanaa group japo kuwa palikuwa pagumu ila ulifanikiwa kuonekana miaka ya 2004 ni mwaka mmoja ulidumu na kundiletu hilo enzi hizo na mwaka 2008 ukajiengua na kukaa kimya sana na kila msanii wa uigizaji alikusahau kumbe ilikuwa chachu ya kutafuta njia sahihi ya kutafuta maish yako mwaka 2010 nilisikia sauti yako TIMES RADIO kwenye kipindi cha mirindimo ya pwani...DIDA mbona kila nikiandika kuna mengi yanakuja kichwani mwangu Rafiki yangu sana
PUMZIKA KWA AMANI DIDA SHAIBU MCHOPANGA