Sports News

Sports News Daka habari zote za michezo ndani na nje ya Tanzania. Only sport news.

Kila la heri Azam Fc
07/05/2023

Kila la heri Azam Fc

21/02/2021

FULL TIME MATOKEO

CD Agosto 2-6 Namungo Fc
Barca 1-1 Cadiz
West ham 2-1 Totenham
AC Milan 0-3 Inter milan
Aston villa 1-2 Leicester city

Mechi inayofuata sasa ni Arsenal dhidi ya Man city

21/02/2021

Baadhi ya gemu kubwa za leo barani Ulaya

AC Milan Vs Inter Milan (11:00)

Arsenal Vs Man City(1:30)

Man United Vs Newcastle United (4:00)

Aston villa Vs Leicester city(11:05)

PSG Vs Monaco(5:00)

Fernabache Vs Gztepe SK(1:00)

bARCELONA Vs Cadiz (10:00)

Muda wa mechi kwenye mabano ni kwa kiswahili

20/02/2021

EPL LEO

liverpool 0-2 Everton

Hii ni mechi ya derby ambayo imeisha kwa Liverpool kukubali kipigo cha goli mbili kwa bila. Na ni mechi ya nne mfululizo wanapoteza kwenye dimba lao la nyumbani Anfield.
Mechi walizopoteza ni dhidi ya burnley,brighton,man city na Everton.

12/02/2021

Full Time

As Vita 0-1 Simba Sc
*Mugalu

Simba wanaondoka na alama zote tatu pale Congo. Bonge moja LA mechi na kongole kwa Simba Sc kwa kuanza vyema.

12/02/2021

GROUP STAGE CAF

AS VITA Vs SIMBA SC
SAA: 4:00 USIKU

Mechi ya mkondo wa kwanza ambayo itachezwa usiku wa leo pale CONGO DRC

16/06/2020

Bayern Munich watangazwa mabingwa wa Bundesliga 2019/20

¶Baada ya ushindi wa leo dhidi ya werder bremen, wametangaza ubingwa

¶Ni ubingwa wa 8 mfululizo toka mwaka 2013

¶Na kombe la 29 toka bundesliga ianzishwe mwaka 1963.

Hongera The Bavarian

11/06/2020

Salaam;

M hali gani ndugu zangu wapendwa na mashabiki wa michezo hususani mpira wa miguu, Ni matumaini yangu ni wazima wa afya na niwaombee heri wote walio katika matatizo ya hapa na pale, Mungu awasimamie.

Ni muda sana toka nimeposti kitu kwenye hii page yangu lakini ni kwa sababu zilizokua nje ya uwezo wangu ambazo ziliniweka kando na mambo ya mitandao ya kijamii. Lakini Mungu wetu mwema, nmerudi tena ili tupeane Yale ya kimichezo hasa ukizingatia hapa katika ligi zilisimama kwa sababu ya janga la dunia Covid-19 lakini taratibu ligi zimeanza kurejea na zingine zikiwa bado zimepigwa "stop".

Niwashukuru kwa muda wenu na Niwakaribishe sasa kwa Mara nyingne kufuatilia page hii najua nyinyi ni watu wa muhimu kwangu.

" Michezo hapa ndo nyumbani"

14/01/2020

MO DEWJI ATENGUA KAULI YAKE YA KUJIUZULU, AREJEA TENA UONGOZINI

“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba" - MO DEWJI

Baada ya kauli yake hapo Jana kwenye mtandao, Mo Dewji amerudi tena na amesema ilikua ni bahati mbaya tu.

Mi nafikiri alikua sahihi kwa sababu hasira siku zote huwa haikufanyi ufikirie zaidi k**a jambo unalofanya ni sahihi au sio sahihi. Lakini kwa upande mwingine hakua sahihi, mtu wa kariba k**a yake kuandika maneno k**a yale mtandaoni.

14/01/2020

📝 DEAL DONE: Quique Setién has replaced Ernesto Valverde as the new head coach of Barcelona on a deal until 2022. (Source: FC Barcelona)

Quique Setie`n amesaini dili LA miaka miwili mpaka 2022 kuiongoza Fc Barcelona baada Ernesto Valverde kutimuliwa. Hatua ya kumtimua Valverde inakuja baada ya Barcelona kutofanya vizuri kwenye mechi kadhaa za muhimu na kwenye makombe makubwa has a msimu uliopita na huu wa 2019/20.

Rekodi za Valverde
Mechi 145
Ushindi 97
Sare 32
Kupoteza 16

Kwaheri Valverde, Karibu Setien.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports News:

Share