
13/06/2025
Nimesikia baadhi ya mashabiki wakisema eti...Unyonge sasa ufikie mwisho....huu upendeleo wa kilabu kimoja ndio kisikilizwe kwa kila kinachohitaji katik soka letu na kufanya vilabu vyengine vyote viwe havina thamani sasa ifikie mwisho......msimamo wa mashabiki wa simba nimewasikia wakinong'ona eti...ikiwa viongozi wao watakubali kucheza tar 25 na sio tarehe 15 june 2025 basi sasa ni wakati sahihi wa washabiki kuwaachia timu yenu wenyewe na wao wakae kando maana hamupo pamoja na maumivu ya mashabiki...uonevu wa wazi waathirika ni mashabiki......mashabiki wanasubiri tamko letu viongozi wao........