cawabe media

cawabe media CAWABEMEDIA is Tanzania media Registered by TANZANIA COMMUNICATION REGULATORY AUTHORITY (TCRA)
we deals with News,Sports, stories,intertainment,TV shows etc.

Head quarter -MIKOCHENI DAR ES SALAAM

CAWABE MEDIA,
"Sauti ya jamii"
"Fahari ya watu"

17/09/2026

Mchambuzi atoa tamko kwa makocha wa klabu ya na kipindi iki cha mapumziko ya wiki mbili waende kozi kwa kocha wa klabu ya .

17/09/2026

atimaya amefunguka ukweli kuhusu timu bora kwa sasa hapa ni klabu ya

17/09/2026

Mchambuzi afunguka vunguvungu la uongozi kuanza upya ndani ya klabu ya

17/09/2026

Hii nayo ulikuwa hauijui kutoka kwa

17/09/2026

Mchambuzi wa ameelezea kinachompa dhamana kocha ni ubora wa waqchezaji ndani ya timu yake.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba katika jiji hilo kuwa na vifaa vya kuhifadhia taka...
17/09/2026

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba katika jiji hilo kuwa na vifaa vya kuhifadhia taka (dustbin) visivyopungua viwili, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha jiji linakuwa safi na mazingira yanatunzwa.

Chalamila ametoa agizo hilo leo, Septemba 17, 2026, wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, akisema hatua hiyo inalenga kusaidia utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha Dar es Salaam inakuwa safi.

Amesema usafi wa jiji unahitaji ushirikiano wa wananchi, Serikali na wadau wengine, huku kila kaya ikiwa na wajibu wa kuhakikisha taka zinahifadhiwa katika maeneo sahihi kabla ya kuondolewa.

Mbali na nyumba, Chalamila amesema magari ya abiria maarufu k**a daladala yanapaswa kuwa na vifaa maalumu vya kuhifadhia taka ili kuzuia abiria kutupa taka ovyo barabarani.

Amesema utekelezaji wa hatua hizo utasaidia kupunguza uchafu katika maeneo ya makazi, barabara na maeneo mengine ya jiji, pamoja na kuimarisha utunzaji wa mazingira.

Mchekeshaji Ndaro ameibuka na kumtania msanii Marioo, akidai kuwa amewasahau watu wanaoteseka na mapenzi kupitia muziki ...
17/09/2026

Mchekeshaji Ndaro ameibuka na kumtania msanii Marioo, akidai kuwa amewasahau watu wanaoteseka na mapenzi kupitia muziki wake.

Ndaro amesema zamani nyimbo za Marioo zilikuwa zikianza na neno “Kapipoooo”, hali ambayo kwake ilikuwa ishara kwamba mtu aliyepitia maumivu ya mapenzi lazima angejikuta akilia na kukumbuka mahusiano yake. 😂

Kwa sasa, Ndaro anadai Marioo amebadilika baada ya kuanza kutumia miito k**a “Alooooo” na “Kanibaliiiii”, akisema amewaacha nyuma wale waliokuwa wakitegemea nyimbo zake kwa ajili ya kulia na kusimulia maumivu ya mapenzi.

“Kwenye ngoma za Marioo ulikuwa ukisikia tu imeanza na neno ‘Kapipoooo’… hapo kulizwa ni uhakika, unalia weeee, unaona kabisa kaimbia mahusiano yako. Ila tangu aanze kufungua wimbo na ‘Alooooo’ au ‘Kanibaliiiiiiii’… katusahau kabisa waliaji. Free Mariooo!” — Ndaro.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limeanza uchunguzi na ufuatiliaji wa picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii...
17/09/2026

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limeanza uchunguzi na ufuatiliaji wa picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, inayodaiwa kuwahusisha baadhi ya askari wa mkoa huo.

Polisi Simiyu limesema uchunguzi huo umeanza mara moja ili kubaini ukweli kuhusu tukio hilo, huku likieleza kuwa taarifa kamili itatolewa baada ya uchunguzi kukamilika.

https://youtu.be/CaOCUmP4ErE
17/09/2026

https://youtu.be/CaOCUmP4ErE

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

17/09/2026

Sikiliza mawazo ya kuhusu kuwa na wanawake wengi.

Address

MIKOCHENI B DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cawabe media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share