25/10/2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Mokgweetsi Masisi Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: ||
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || ||
'