80's Vibe Online Radio and TV

80's Vibe Online Radio and TV 80 vibes is an online radio and tv station broadcasting live from Kunduchi, Dar es Salaam Tanzania

ONE TOUCH SOLUTIONS IS A PUBLIC RELATIONS, EVENT MANAGEMENT AND MARKETING COMMUNICATIONS FIRM BASED IN DAR ES SALAAM, WITH A BRANCH IN ARUSHA, TANZANIA. IT WORKS WITH DIFFERENT COMPANIES IN VARIOUS COUNTRIES INCLUDING MOZAMBIQUE, UK, ANGOLA, RWANDA, BURUNDI AND UGANDA.

20/05/2024

TUPATE HAPA KUPITIA INSTAGRAM

BURIANI Jellah Mtagwa Na Mohammed KuyungaBINAFSI nilimfahamu k**a mchezaji mmoja mahiri kati ya mabeki wa kati mahari ku...
16/05/2024

BURIANI Jellah Mtagwa
Na Mohammed Kuyunga
BINAFSI nilimfahamu k**a mchezaji mmoja mahiri kati ya mabeki wa kati mahari kuwahi kutokea nchini.
Jelllah aliweza kucheza mpira wa aina yoyote ile, ukija kihuni utapokewa kihuni na ukija kiustaarabu alikuwa mstaarabu sana. Mbali na kumfahamu k**a beki mahiri, Jellah aliwahi kuwa kocha wangu pale Pan Africa mwaka 1992 tukiwa na kina Bakary Malima, Thomas Marshallah, Peter Lupokela na wachezaji wengine wengi waliowahi kutamba nchni.
Jellah alikuwa kapteni wa Timu ya Taifa ya Tanzania alikuwa mmoja kati ya wachezaji waliotupeleka Afcon kwa mara ya kwanza 1980 zilizofanyika Nigeria.
Mwaka 2003 nikiwa mwandishi wa habari nilifanya mahojiano na Jellah Mtagwa nilivuna hazina nyingi iliyokuwa imejificha akilini mwake.
Pichani ni Augustino Peter maarufu k**a Peter Tino (kulia) akiwa na Jella Mtagwa (katikati)

16/05/2024

Ni muda wa Dansi...Mirindimo ya Kiafrika 'African Sound' Afriso ni kuanzia saa saba mpaka 10 jioni...tunagonga ngoma...tunazungumza kidogo halafu muziki wa kiafrika Afriso unachukua nafasi. Eeh eeh Afriso...Mimi na wewe...wewe na mimi Afriso

16/05/2024

Monday to Friday from.Dar es Salaam, Tanzania...News, Entertainment, Interview, Discussion...Stay Tune

16/05/2024

Connect with us

Address

KUNDUCHI, MTONGANI
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 80's Vibe Online Radio and TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Our Story

REPUBLIK COMMUNICATION INTERNATIONAL LIMITED IS A PUBLIC RELATIONS, EVENT MANAGEMENT AND MARKETING COMMUNICATIONS FIRM BASED IN DAR ES SALAAM, WITH A BRANCH IN ARUSHA, TANZANIA. IT WORKS WITH DIFFERENT COMPANIES IN VARIOUS COUNTRIES INCLUDING MOZAMBIQUE, UK, ANGOLA, RWANDA, BURUNDI, MALAWI, ZAMBIA, NIGERIA AND UGANDA.