27/07/2024
Jifunze kuhusu fursa za kiuchumi zitokanazo na madini katika kipindi hiki kipya cha Nyundo za Madini. Usisahau kulike na ku subscribe.
Ndugu Bw. Alfred Luvanda Akiongea na Baraza la wazazi wa Ccm jijini Dodoma, Mada kuu ilikua fursa za kiuchumi zilizopo katika Madini na namna yakujiendeleza ...