Kuza Chap

Kuza Chap Karibu kuzachap.com! Tunajishughulisha na huduma za Masoko ya Mitandao ya Kijamii (SMM) zinazolenga kuongeza uwepo wako mtandaoni.

Kwa heshima ya msimu wa Pasaka na Eid, tunakuletea OFA YA KUSHINDIKANA!✅ Bei ya Huduma: TZS 65,000/= tu badala ya 80,000...
30/03/2025

Kwa heshima ya msimu wa Pasaka na Eid, tunakuletea OFA YA KUSHINDIKANA!

✅ Bei ya Huduma: TZS 65,000/= tu badala ya 80,000/=

✅ Huduma zinazopatikana:

• Kuongeza followers kwenye akaunti yako ya Instagram.

• Huduma za haraka na za uhakika kwa akaunti za biashara na binafsi.

⚡️ OFA HII NI YA MUDA MFUPI TU!

👉 Usikose nafasi hii ya kukuza akaunti yako kwa bei ndogo!

Tembelea www.kuzachap.com sasa na ufurahie punguzo hili kabambe!

Muda wa ofa: Kuanzia sasa hadi tarehe 03/04.

Jiunge sasa na ujipatie followers zaidi kwa bei ya kipekee!

kuzachap.com
14/03/2025

kuzachap.com

Samahani kwa usumbufu! 🙏 Kwa sasa, huduma zetu zipo chini kutokana na marekebisho ya mfumo. Timu yetu ya kiufundi inafan...
13/03/2025

Samahani kwa usumbufu! 🙏 Kwa sasa, huduma zetu zipo chini kutokana na marekebisho ya mfumo.

Timu yetu ya kiufundi inafanya kazi kurekebisha tatizo hili haraka iwezekanavyo.

Tutakujulisha mara tu huduma zitakaporejea. Asante kwa uvumilivu wako!

Tumeongeza Huduma Mpya Pale Kuza Chap!1- Instagram Engagement + Shares 2- Instagram shares na,3- Instagram Saves.Tembele...
12/03/2025

Tumeongeza Huduma Mpya Pale Kuza Chap!
1- Instagram Engagement + Shares
2- Instagram shares na,
3- Instagram Saves.

Tembelea kuzachap.com kujihudumia. 🚀

WhatsApp sio ya kuchati tu! 😎 Jifunze jinsi ya kuitumia kuuza zaidi na kupata faida kubwa!
18/02/2025

WhatsApp sio ya kuchati tu! 😎

Jifunze jinsi ya kuitumia kuuza zaidi na kupata faida kubwa!

Tunafanya maboresho kwenye WhatsApp Chat Bot yetu ili kuhakikisha huduma bora zaidi! ✅ Wakati huu, huduma zote zinaendel...
12/02/2025

Tunafanya maboresho kwenye WhatsApp Chat Bot yetu ili kuhakikisha huduma bora zaidi! ✅

Wakati huu, huduma zote zinaendelea k**a kawaida kupitia kuzachap.com 🌐🔥

Tunayo habari njema kwa ajili yako! Sasa kwenye jukwaa letu la Kuza Chap, unaweza kulipia huduma zako moja kwa moja kupi...
27/01/2025

Tunayo habari njema kwa ajili yako! Sasa kwenye jukwaa letu la Kuza Chap, unaweza kulipia huduma zako moja kwa moja kupitia Vodacom M-Pesa na mitandao mingine yote!🎉

Kwa nini tumekuja na suluhisho hili?
✅ Urahisi: Hakuna tena usumbufu—lipia kwa njia rahisi zaidi kupitia M-Pesa.
✅ Usalama: Malipo yako sasa ni salama na yanafanyika haraka.
✅ Kuboresha Huduma: Tunajitahidi kuhakikisha huduma zetu zinakidhi mahitaji yako ya kila siku.

Jinsi ya kutumia Vodacom kwenye malipo yako:
1️⃣ Tembelea kuzachap.com
2️⃣ Chagua huduma unayotaka.
3️⃣ Lipia kwa kutumia Vodacom M-Pesa.

Hakikisha unachukua hatua sasa na ufurahie urahisi huu mpya. Kwa msaada zaidi, tupo tayari kukusaidia wakati wowote.

Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya Kuza Chap! 💙

Kwa mafanikio yako,
Timu ya Kuza Chap.

🎄🎁 SALAAM ZA KRISMASI NA OFFER KABAMBE! 🎁🎄Kuzachap inakutakia Krismasi njema na mafanikio tele kwa mwaka mpya unapoanza!...
25/12/2024

🎄🎁 SALAAM ZA KRISMASI NA OFFER KABAMBE! 🎁🎄

Kuzachap inakutakia Krismasi njema na mafanikio tele kwa mwaka mpya unapoanza! Kwa kusherehekea msimu huu wa furaha, tunakuletea offer ya kipekee ya Instagram followers!

💥 PUNGUZO MAALUM:
👉 Kutoka 80,000 TZS hadi 60,000 TZS tu!
⏳ Offer inapatikana mpaka tarehe 2/01/2025.

✅ Tembelea sasa 👉 www.kuzachap.com na uweke order yako leo. Pia, usisahau kuzima “flag for review” kabla ya malipo ili huduma yako iweze kushughulikiwa haraka!

Anza mwaka mpya kwa akaunti iliyo na nguvu zaidi mtandaoni. Usikubali hii nafasi ikupite!

Kuzachap - Jukwaa lako bora kwa huduma za SMM!

Hatutakuwa na marejesho ya pesa kwa oda ambazo zimewekwa alama kuwa zimekamilika, na hazijakamilika kwa sabanu hujazima ...
15/10/2024

Hatutakuwa na marejesho ya pesa kwa oda ambazo zimewekwa alama kuwa zimekamilika, na hazijakamilika kwa sabanu hujazima “FLAG FOR REVIEW”.

Kutoka upande wetu, tulituma followers, lakini kutokana na setting hiyo kutokuzimwa, hawajafika kwenye account yako. Hatutachukua jukumu lolote katika hali k**a hizi ambapo kosa limetokea kutoka upande wa mteja.

Tafadhali fahamu kwamba jukumu letu ni kutoa taarifa tu. Ikiwa utaamua kupuuza taarifa hizi na kuendelea kuweka oda bila kuzima hiyo setting au kuwasiliana nasi, hatutaweza kusaidia katika hali k**a hiyo. Tunawajibika tu pale ambapo tumefanya makosa na hatujakutaarifu kuhusu hilo.

Tumetoa taarifa hizi mara kadhaa kupitia WhatsApp status, taarifa kwenye tovuti, na kupitia chaneli ya WhatsApp pia. Tafadhali hakikisha kuwa umezima ‘Flag for Review’ kabla ya kuweka oda ya wafuasi wa Instagram.

Asante kwa uelewa wako!

Boost Mauzo Yako na TikTok Live! 🎥 Ingia live kwenye TikTok na ushirikiane na wafuasi wako moja kwa moja ili kuongeza ma...
12/09/2024

Boost Mauzo Yako na TikTok Live! 🎥

Ingia live kwenye TikTok na ushirikiane na wafuasi wako moja kwa moja ili kuongeza mauzo yako. Ili kwenda live, unahitaji kufikisha wafuasi 1K – tuache tukusaidie kufikia lengo hilo kwa haraka zaidi! 🚀

Kuzachap.com

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuza Chap posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kuza Chap:

Share