MUSA AMISI

MUSA AMISI moi je suis un élève d'instunt rutaniga j'ai en qatriéme annee je suis quelqu'un d'uvira pressi

Mchekeshaji Kicheche ametumia ukurasa wake wa instagram kumuaga mke wake na kumuahidi kuwa hatoweza kufanya  uzinz! kwen...
28/02/2026

Mchekeshaji Kicheche ametumia ukurasa wake wa instagram kumuaga mke wake na kumuahidi kuwa hatoweza kufanya uzinz! kwenye safari yake ya Congo.

''LEO NASAFIRI KUELEKEA KWENYE ZIARA YANGU YA CONGO. Ila safari ya awamu hii ni tofauti kabisa na zile zilizopita.

Mala zote nishazoeaga kabla ya kufanya show huwa napiga kwanza show na mitulinga hotelini kisha ndo ikafanye show jukwaani hapa wasanii wa muziki washanelewa

Lakini safari hii ni tofauti.

Kwa heshima ya hali aliyokuwa nayo mke wangu , na kwa heshima ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani,

NAAHIDI hadharani kwamba kwa kipindi chote nitakachokuwa Congo, sitofanya uzinzi wa aina yoyote ile.

Najua si jambo rahisi — hasa ukizingatia uzinzi upo damuni. Lakini heshima ya mke wangu ni kubwa kuliko tamaa zangu. Heshima ya mwezi huu ni kubwa kuliko udhaifu wangu.

Nitajikaza. Na namuomba sana Mungu anipe nguvu ya kulitimiza hili, kwa sababu kwangu si jambo dogo wala rahisi.

Na ili kuweka wazi dhamira yangu, nitawaruhusu watu wangu wa karibu wanichukulie video muda wowote, saa yoyote, bila mipaka.

Video zote nitaziweka kwenye page yangu. Nafanya hivi kujipa challenge — nijithibitishe mwenyewe:

Je, nina uwezo wa kukaa muda mrefu bila kufanya uasherati au la''Ameandika-Kicheche

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄Mchezaji Neymar amefunguka kuwa alipoamua kusherehekea kwa mtindo ule maalum k**a Vini JR alifanya hivyo kwa kumu...
27/02/2026

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mchezaji Neymar amefunguka kuwa alipoamua kusherehekea kwa mtindo ule maalum k**a Vini JR alifanya hivyo kwa kumuunga mkono baada ya kukumbana na vitendo vya ubaguzi wa rangi nchini Ureno.

“Nilimwambia, utakapofunga tena, sherehekea kwa namna ile ile. Nami nitafanya vivyo hivyo

Mara baada ya taarifa ya kwamba Christiano Ronaldo ni mmoja Kati ya wawekezaji katika klabu ya UD amlmeria ya Hispania i...
27/02/2026

Mara baada ya taarifa ya kwamba Christiano Ronaldo ni mmoja Kati ya wawekezaji katika klabu ya UD amlmeria ya Hispania imepelekea kuwashawishi watu wengi kuanza kuifuatilia klabu hiyo .

hii inaonyesha nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mchezaji Cristiano Ronaldo (CR7) kwenye mitandao ya kijamii.

Ongezeko la Ghafla la Followers inaonyesha kulinganisha kwa akaunti ya Instagram ya klabu ya Almeria Kabla ya kuhusishwa na Ronaldo , walikuwa na followers 10,000 tu. Baada ya Ronaldo kuanza kuifuatilia akaunti hiyo (k**a inavyoonekana kwenye sehemu ya "Followed by cristiano"), idadi ilipanda kwa kasi hadi kufikia followers milioni 2.9.

Hili ni jambo la kawaida kwa mchezaji huyo ambapo timu au bidhaa yoyote inayohusishwa na Ronaldo inapata umaarufu mkubwa duniani kote ndani ya muda mfupi.

Follow us on

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0744641922

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MUSA AMISI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share