
21/09/2025
Hitimisho la Sabato maalumu ya Pathfinder ukiwa ni maadhimisho ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwa chama cha watafuta njia Duniani iliyo fanyika katika kanisa la Waadventista wa Sabato Tegeta Dsm.