East Africa Radio

East Africa Radio Official EastAfricaRadio page. Listen live @ www.eastafricaradio.com

17/01/2026

: "Malengo ya Mashujaa FC ni kumaliza nafasi nne za juu, siyo kitu rahisi msimu wa kwanza tulimaliza nafasi ya 8, msimu wa pili tuk**aliza nafasi ya 7 bado tunasogea taratibu japo ni ngumu" -

17/01/2026

: Msemaji wa kikosi cha Mashujaa FC kuelekea katika mchezo wao hapo kesho dhidi ya Yanga ameamua kukubali kuwa Yanga imewazidi uwezo hivyo katika mchezo huo wanaenda k**a "Underdog".

17/01/2026

: anasema fagio ndani ya Simba huenda likapita na wachezaji k**a Moussa Camara, Chamou Karaboue, Josua Mutale na Steven Mukwala ambaye atauzwa.

17/01/2026

: "K**a Simba wamesajili Libasse Gueye kwa lengo la kutibu eneo la ushambuliaji utakuwa ni usajili unaweza kulipa au usilipe, katika timu ya Teungueth amecheza michezo 11 hajafunga goli lolote"

17/01/2026

: "Mteja hatotaka kujua umetumia mbinu gani kutengeneza graphics, muhimu ni ubora wa kazi, sasa hivi hatupaswi kuteseka, tumia AI acha kujitesa"



17/01/2026

: "Akili Mnemba (AI) imefuta ajira za watu wengi, zipo kazi zilizokuwa zikifanya na watu lakini AI imekuja kuzifanya kwa ubora zaidi ya binadamu"



17/01/2026

Imagine hii chuma ya tatu isingekuwa Offside maana yake ingeisha kwa Man City kupigwa 3-0 bahati mbaya imeisha kwa 2-0 ila mashabiki wa Man United wamefurahi sana na wanassma bila VAR hamna hamna zingekuwa 5-0.

Ulitegemea haya matokeo?

17/01/2026

Jinsi Patrick Dorgu alivyomhakikishia mkataba mwingine Michael Carrick pale itakapomalizika miezi sita ya sasa. Au kuna shabiki yoyote wa Man United anapingana na hili?

17/01/2026

Hizi ndio moment zinazoongeza nguvu kwa mashabiki wa Manchester United na uzuri ili uzipate hizi moment kwa utamu inabidi uishi na

17/01/2026

: anasema akiwa "off-air"anakosoa sana ngoma za wasanii ila kwa kawaida siyo vizuri kuongelea mambo mabaya na kutengeneza chuki kwa watu



17/01/2026

: anaelezea kilichomfanya kuwa "gangster"



Address

Mikocheni Light Industrial Area
Dar Es Salaam
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East Africa Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to East Africa Radio:

Share