VJD TV

VJD TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VJD TV, TV Channel, Dar es Salaam.

VJD TV CCR CHANNEL YA VIJANA KARISMATIKI JIMBO KUU DSM

SUBSCRIBE CHANELL YETU SASA

TUNARUSHA MATUKIO MBALIMBALI NA VIPINDI MBALIMBALI

PIA TUNATOA HUDUMA YA KUSHOOT HARUSI NA SHUGHULI MBALIMBALI ๏ฟฝ

VJD ONLINE TV INAWATAKIA HERI YA CHRISTMAS KWENU NYINYI NYOTE   AWABARIKI
25/12/2025

VJD ONLINE TV

INAWATAKIA HERI YA CHRISTMAS KWENU NYINYI NYOTE

AWABARIKI

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘†๐Ÿ“ข HABARI MUHIMU SANA NA YA KUGUSA MOYO ๐Ÿ’”โžก๏ธโค๏ธKwa unyenyekevu na moyo wa upendo, tunawaletea wito wa dharura unaogusa dh...
13/12/2025

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘†๐Ÿ“ข HABARI MUHIMU SANA NA YA KUGUSA MOYO ๐Ÿ’”โžก๏ธโค๏ธ

Kwa unyenyekevu na moyo wa upendo, tunawaletea wito wa dharura unaogusa dhamiri na huruma ya kila mmoja wetu.

Kijana mwenzetu Lilian, mkazi wa jimboni kwetu, ni mama jasiri anayemlea mtoto wa kiume peke yake katika mazingira magumu sana. Licha ya changamoto kubwaโ€”ikiwa ni pamoja na baba wa mtoto kukataa kumlea wala kutoa huduma stahikiโ€”Lilian hakukata tamaa. Kwa juhudi zake mwenyewe, amefanikiwa kumsomesha mtoto wake hadi kuhitimu darasa la saba ๐Ÿ™.

Mtoto huyu anaitwa MARKO VALENCE MASENGE, mwenye umri wa miaka 14. Kwa neema ya Mungu, Marko ameonesha wito wa upadre baada ya kufuatilia VJD TV, na ndoto yake ni kuingia Seminary ya Visiga ๐ŸŒŸ.

Kwa kushirikiana na mama yake, tumefanikiwa kukusanya shilingi laki saba (700,000/=). Hata hivyo, ada ya shule ni shilingi milioni 2 kwa mwaka, hivyo bado kunahitajika msaada ili aweze kuripoti shule mwezi Januari ๐Ÿ“šโณ.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, VJD tunakuja mbele yako tukiomba msaada wowote utakaoguswa naoโ€”kidogo au kikubwaโ€”ili kumwezesha kijana huyu kufikia ndoto yake ya kumtumikia Mungu ๐Ÿคโœ๏ธ.

Kwa yeyote atakayeguswa kuwa mfadhili, karibuni sana. Tafadhali piga simu kwanza kabla ya kutuma mchango kupitia namba ya mama mzazi:
๐Ÿ“ž 0714 574 980

๐Ÿ™ ASANTE SANA kwa upendo wenu, mshikamano wenu, na mioyo yenu ya huruma. Mungu awabariki sana โœจ๐Ÿคฒ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ee Mungu Ibariki Tanzania ๐Ÿ™Mungu, tujalie amani na umoja katika nchi yetu.Tutusamehe uovu wetu, tuongoze katika njia ...
06/11/2025

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ee Mungu Ibariki Tanzania ๐Ÿ™
Mungu, tujalie amani na umoja katika nchi yetu.
Tutusamehe uovu wetu, tuongoze katika njia zako za haki na upendo.
Tuwakabidhi mikononi mwako wote waliopoteza maisha katika maandamano โ€” wapumzike kwa amani milele.
๐Ÿ•Š๏ธ Ee Mungu, iguse Tanzania, iponye na iinuliwe kwa utukufu wako.

SEMA NENO KWA AJILI YA TANZANIA

16/12/2024

HAKIKISHA HAUKOSI

MWL:JOACHIM BIGIRWA AKIWA ANAONGOZA MAOMBI EMAUS CENTER UBUNGO KUNA MKUTANO WA MAOMBI NA MAOMBEZ USIKOSE...
02/11/2024

MWL:JOACHIM BIGIRWA AKIWA ANAONGOZA MAOMBI EMAUS CENTER UBUNGO

KUNA MKUTANO WA MAOMBI NA MAOMBEZ USIKOSE...

THANKS GOD...!!!
20/09/2024

THANKS GOD...!!!

15/09/2024

TUNA SHOOT HADI MIKUTANO YA INJIRI ๐Ÿ˜‹

๐Ÿ‘‰KARIBU KUTAZAMA USHUHUDA ๐Ÿ‘‰BIBI ALIYEFUNGULIWA NA VIFUNGO KATIKA MKUTANO UNAOENDELEA BAGAMOYO ๐Ÿ‘‰NA KWA MAOMBI MKWEWE ALIY...
08/09/2024

๐Ÿ‘‰KARIBU KUTAZAMA USHUHUDA

๐Ÿ‘‰BIBI ALIYEFUNGULIWA NA VIFUNGO KATIKA MKUTANO UNAOENDELEA BAGAMOYO

๐Ÿ‘‰NA KWA MAOMBI MKWEWE ALIYEGOMA KUTOA MAHALI AKATOA

๐Ÿ‘‰๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅVJD TV...๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

01/09/2024

๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

https://youtu.be/mf2kHYesDjw?si=sHZY3LE4_lB0rutX๐Ÿ‘‰ KARIBU KUTAZAMA KIPINDIA CHA "UNAWEZA KUWA BORA ZAIDI YA WENGINE"๐Ÿ‘‰MWL:...
21/08/2024

https://youtu.be/mf2kHYesDjw?si=sHZY3LE4_lB0rutX

๐Ÿ‘‰ KARIBU KUTAZAMA KIPINDIA CHA "UNAWEZA KUWA BORA ZAIDI YA WENGINE"

๐Ÿ‘‰MWL:ADRIANO NDINDWA

๐Ÿ‘‰KUNA JAMBO KUBWA LA KUJIFUNZA HAPA..

๐Ÿ‘‰USISAHAU KU SUBSCRIBE KU SHARE KU LIKE NA KU COMMENT ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VJD TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category