Kijana With A Plan

Kijana With A Plan Fursa mbalimbali kwa vijana zipatikanazo katika sekta mbalimbali mfano Uchumi, Elimu, Ajira, Michezo, Kilimo, Ufugaji, Sanaa, Habari na Mitaji.

Karibu katika ukurasa wetu wa Ubalozi Youth Forum. Ukurasa wetu ni mahususi kwa vijana wa kitanzania kupatiwa habari kuhusu fursa mbalimbali zinazojitokeza hapa nchini na nje ya nchi. Fursa hizo kwa vijana pamoja na Udhamini katika Elimu nje ya nchi (Scholarships), Ajira na Kujitolea, Kilimo, Michezo, Ufugaji,Sanaa na Mitaji kwa Wazo la Biashara.

Africa Transformative Mobility Accelerator (ATMA) Programme 2020 for African Startups
23/03/2020

Africa Transformative Mobility Accelerator (ATMA) Programme 2020 for African Startups

Africa Transformative Mobility Accelerator (ATMA) Programme 2020 for African Startups By OFA - March 17, 2020 Facebook Twitter WhatsApp Email Google+ Pinterest Print Application Deadline: March 31st 2020 The increase in urban population in African cities has resulted to diversification and an upsurg...

Draper University/World Bank 2020 Innovation Challenge For Agriculture and Food Security Risk Financing in Southern Afri...
22/03/2020

Draper University/World Bank 2020 Innovation Challenge For Agriculture and Food Security Risk Financing in Southern Africa (all expenses paid to Washington, D.C.,USA)


http://bit.ly/3cZvcKq

IAEA Marie Skłodowska-Curie Fellowship Programme 2020 for female graduate students (10,000 euros/year for living Expense...
22/03/2020

IAEA Marie Skłodowska-Curie Fellowship Programme 2020 for female graduate students (10,000 euros/year for living Expense)
http://bit.ly/38OAFkd

2020 One Young World Politician of the Year Award (Fully Funded to the  Summit 2020 in Munich,Germany)   http://bit.ly/3...
22/03/2020

2020 One Young World Politician of the Year Award (Fully Funded to the
Summit 2020 in Munich,Germany) http://bit.ly/3ddMTX0

Je, Wajua? Mwalimu Julius K. Nyerere Alisoma Chuo Kikuu Cha Edinburgh, Nchini Uingereza na Kwa Heshima Yake Chuo hicho k...
14/10/2017

Je, Wajua? Mwalimu Julius K. Nyerere Alisoma Chuo Kikuu Cha Edinburgh, Nchini Uingereza na Kwa Heshima Yake Chuo hicho kinatoa Udhamini wa Masomo kwa Wanafunzi kutoka Tanzania.

Karibu Katika Kongamano la Ubalozi Youth Forum Siku ya Tarehe 28/10/2017, Viwanja Vya Leaders Club, Dar Es Salaam Upate Nafasi ya Kujua Fursa mbalimbali zinazopatikana nje ya Nchi kwaajili ya vijana wa Kitanzania.

Cc.

Address

Mikocheni B, Kanisani Road
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijana With A Plan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category