Challi TV

Challi TV ChalliTV is 4 Education Programs, News, Talk Shows, Songs&Inspiration Songs, Entertainment and Sports

23/05/2026

Mbappe or Muriqi mfungaji bora leo Laliga ikiwa inakamilisha michezo yake ya mwisho

Mchambuzi wa masuala ya michezo Hansrafael amesema mashabiki wanapaswa kuacha kuhusisha undugu wa timu katika matokeo ya...
22/05/2026

Mchambuzi wa masuala ya michezo Hansrafael amesema mashabiki wanapaswa kuacha kuhusisha undugu wa timu katika matokeo ya mechi, akisisitiza kuwa ubora wa kikosi ndio unaotakiwa kuamua mchezo uwanjani.

Hansrafael amesema, โ€˜Mlisema Yanga na Dodoma ni ndugu, lakini Yanga akafungwa. Sasa leo msianze kusema Singida na Yanga ni ndugu. Acheni quality iamue mechi.โ€™โ€

14/05/2026

Goli la Seleman Mwalimu leo dhidi ya Mashujaa

13/05/2026

13/05/2026

Klabu ya ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ SC imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya ๐—ง๐˜€๐—ต ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ baada ya wachezaji pamoja na maofisa wa benchi la ufun...
11/05/2026

Klabu ya ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ SC imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya ๐—ง๐˜€๐—ต ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ baada ya wachezaji pamoja na maofisa wa benchi la ufundi kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam, na badala yake kutumia nyumba iliyopo nje ya uwanja upande wa pili wa barabara.

Tukio hilo lilitokea Mei 03, 2026 wakati wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, hatua iliyotajwa kwenda kinyume na Kanuni za Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

Mbali na adhabu hiyo, Yanga SC pia imepewa onyo kali kutokana na kuchelewa kuwasili uwanjani kuelekea mchezo huo, ambapo walifika saa 10:35 alasiri badala ya saa 10:30 alasiri k**a kanuni zinavyoelekeza.

Katika hatua nyingine, Meneja wa Young Africans SC, Walter Harson, amefungiwa michezo mitatu pamoja na kutozwa faini ya Shilingi milioni moja kwa kosa la kumsukuma mchezaji wa Simba, Clatous Chama, kwenye mchezo huo.

08/05/2026



๐Ÿ“ฝ Wasafi

Address

Boko Bagamoyo Road
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255754710186

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Challi TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share