Mukhtar ally ahmedy

Mukhtar ally ahmedy
~OWNER
~INSTAGRAM
Ally~Tik Tok
(1)

17/08/2026

Hii nguvu tunayo weka sisi mashabiki kwenye kurumbana, kwa nini tusiweke kwenye kuijenga timu? 🤔 Ligi ndio kwanza imeanza, ila kila kukicha linazuka jipya. Sio kwa ubaya, lakini tukiendelea hivi hata mvuto tunapoteza.

Sisi wote tumekutanishwa na Simba ❤️🤍. Tuache malumbano yasiyo na tija, tuipambanie timu yetu. N.B: SISI NDIO MASHABIKI BORA! 🔥 Kwa nini tusiioneshe hiyo bora yetu kwa kuacha haya mambo ya kutupiana maneno?

TUWE SIMBA NGUVU MOJA, NA SIO KINGINEEEEE! 💪🏾❤️🤍

Chezaji la bori usisikileze maneno ya waja ujaja, Simba bahati mbaya tuoneshe kipaji chako. Sisi Wanasimba tunataka fura...
17/08/2026

Chezaji la bori usisikileze maneno ya waja ujaja, Simba bahati mbaya tuoneshe kipaji chako. Sisi Wanasimba tunataka furaha na ushindi, tunaamini kwenye mguu wako uliobarikiwa. Ismail Mgunda SIMBA NGUVU MOJA.💪🏾

17/08/2026

MUDA wa kutoana akili umekwisha kilichobaki sasa hivi ni kuimbambani timu yetu tuachee marumbano timu tunayo na tunatambaa nayo SIMBA NGUVU MOJA💪🏾

16/08/2026

Kwa mfano pale angefunga leo mwanasimba gani angekuja kuongea leo? Watu watakuja kumuomba msamaha teka la magoli Doumbia😂😂😂

Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama

16/08/2026

Piga haooooo kukudakeeeeeee piga hao

16/08/2026

Ni swala la muda mtatuelewaa tu kukudakeeeeeeeee huyu ndo osimen

16/08/2026

Kweli kuna utofauti kati ya simba na hii timu ya wastafu hivi kweli mnamuacha kijana mnamchukuaa mzee alf watu wanapigaa makofi🤣ilaa hii timu ya utopolo inachekesha k**a sio timu yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

16/08/2026

Ila kuna kuongoza utopolo rahisi sana 🤣kwaiy wamemtoaa kijana wamemletaa mzeee 🤣🤣ila hii timu wa wastafu inatabu sana 🤣🤣 X FACTOR MZEE🤣

15/08/2026

Acha tu nipost hvy hvy ila wanangu nmeniangushaa sana NAMONGO😡😡😡😡 ndo nini sasa kha

15/08/2026

Sifia chako kiwe kizuri au kibayaa ndo chako hatupo hapa kupondaa mchezaji tupo hapa kuwapa morali wachezaji wetu ili watupe furaha naimani na Ismail Mgunda mtanzaniaa atatupaa furaha sisi wana simba tumuungee mkono💪🏾🦁SIMBA NGUVU MOJA

Address

NARUNG’OMBE NA SIKUKU
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mukhtar ally ahmedy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share