Sixy Tv

Sixy Tv Sports, business and Entertainment
Breaking news
Sixy Tv

Happy birthday shensea
02/10/2024

Happy birthday shensea

Happy 28th Birthday To Jamaican Singer Shenseea 🎈🎉

Mayelefiston❤️‍🩹
02/10/2024

Mayelefiston❤️‍🩹

Rapa Sean 'Diddy' combs
01/10/2024

Rapa Sean 'Diddy' combs

Rapa Sean 'Diddy' Combs ameripotiwa kuwa anataka kukata rufaa kwa mara ya tatu ili kupata dhamana kutoka gerezani ikiwa ni wiki mbili zimepita tangu kuk**atwa kwake.

Mwanamuziki huyo anayekabiliwa na Mashtaka mbalimbali ikiwemo ulaghai na usafirishaji wa binadamu imeelezwa kuwa tayari ameongeza nguvu ya Wanasheria wawili akiwemo Anthony Ricco na Alexandra Shapiro ili kuongeza nguvu kwenye kesi yake.


Chadrack Boka💙💝
01/10/2024

Chadrack Boka💙💝

Kocha wa Simba sc Pablo Franco Martin akataliwa Amazulu FC ゚viralシ
01/10/2024

Kocha wa Simba sc Pablo Franco Martin akataliwa Amazulu FC
゚viralシ

Klabu ya AmaZulu Fc ya Afrika Kusini imethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha wa Simba Sc, Pablo Franco Martin na Msaidizi Aitor Van Den Brule kutokana na mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo ambayo imepoteza mechi zote tatu za kwanza za Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu huum

Taarifa ya klabu hiyo imesema “Tungependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani zetu kwa Pablo Franco Martin na Aitor Van Den Brule kwa mchango wao katika kipindi cha miezi 15 iliyopita katika usukani wa timu.
Kujitolea kwao na bidii yao kumeonekana, na tunathamini juhudi zote ambazo wameweka katika majukumu yao.”

“Tunawatakia kila la kheri katika juhudi zao za siku za usoni na kutoa salamu zetu za dhati wanaposonga mbele katika taaluma zao.”

Ni msanii maarufu ..Anatambulika k**a Nay wa mitego 💙Raisi wa kitaaK**a unapenda anachokifanya 💜onyesha upendo 💜💙Nay wa ...
01/10/2024

Ni msanii maarufu ..Anatambulika k**a Nay wa mitego 💙Raisi wa kitaa
K**a unapenda anachokifanya 💜onyesha upendo 💜💙
Nay wa mitego 💙
゚viralシ ゚
Everyone
Follow our page for more 💜
Sixy Tv

Mwanamziki Barnaba classic awashakuru wakaazi wa Mbeya kwa support na upendo walionyesha 💜Wasafifestival
01/10/2024

Mwanamziki Barnaba classic awashakuru wakaazi wa Mbeya kwa support na upendo walionyesha 💜
Wasafifestival

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sixy Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share