
06/09/2025
SOMA KWA UMAKINI MKUBWA SANA UJUMBE HUU.
Watu wengi walijiapiza kwa kitu fulani kwa wema au kwa ubaya juu Yako kuwa usipate kitu fulani au usifanikiwe mahali fulani je unajua jinsi ya kutangua?
Shetani amejiapiza juu Yako juu ya ndoa, KAZI, uchumi au ukuaji wako wa kiroho na kila eneo je unajua jinsi ya kuyashinda maapizo ya shetani?
Wengine walijiapiza kwa ujinga katika Mambo fulani yasiyofaa, je unajua jinsi ya kujinasua kwenye hiyo mitego ya maneno yako k**a biblia isemavyo kwenye mithali:6:2 isemayo “Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umek**atwa kwa maneno ya kinywa chako,”
Lengo la ibada hii ni kuuwezesha kuvunja viapo vyote vinavyokuzuia kuingia kwenye hatima yako.
Hii ni madhabahu ya hatima yako.
Liko pigo Moja ambalo Mungu huliachia kwa maadui zetu hasa tunapojua kutamka kwa usahihi neno lake.
Kwa uhakika kabisa, Andaa Imani Yako, Andaa mda wako wa utulivu wa kufika kwenye hii ibada, fanya jambo Moja tu. Tutembelee ibada hii uone kwa nini hii madhabahu ipo kwa ajili yako
Utatoka hapa na unabii wa maisha yako, ukiwa umefunguliwa kabisa.
Usikose kabisa
Ibada yetu inaanza saa tatu kamili asubuhi wahi mapema ukutane na Mungu na nguvu zake.
Ni hapa Dar es salaam Tanzania kimara bucha mataa au wasiliana nasi kupitia namba 0785973519.