Bongo news

Bongo news News

      LEO
06/03/2026

LEO

06/03/2026
Keka la leo ni follow kwa more  tips
05/03/2026

Keka la leo ni follow kwa more tips

Muda wa maji na mafuta kujitenga umefika. Droo ya Uefa champions league hii hapa tayari. Game zitazotolewa macho ni Real...
27/02/2026

Muda wa maji na mafuta kujitenga umefika. Droo ya Uefa champions league hii hapa tayari. Game zitazotolewa macho ni
Real Madrid vs Manchester City.
PSG vs Chelsea.

Afisa Habari wa Young Africans, Ally Kamwe, ametoa kauli ya kushtua na ya kiungwana kuelekea mahasimu wao, Simba SC, aki...
27/02/2026

Afisa Habari wa Young Africans, Ally Kamwe, ametoa kauli ya kushtua na ya kiungwana kuelekea mahasimu wao, Simba SC, akieleza kuwa amekuwa akifuatilia michezo yao kwa ukaribu ili kujifunza vitu mbalimbali. Kamwe amekiri kuwa Simba wamefanya usajili mzuri katika dirisha dogo la usajili, akilinganisha na daraja ambalo klabu hiyo ipo kwa sasa katika ramani ya soka.

​Katika kile kinachoonekana k**a kutuliza presha ya mashabiki, Ally Kamwe amesisitiza kuwa mchezo wa hivi karibuni wa Simba haukuwa mbaya k**a ambavyo watu wengi wanautafsiri. "Jana nilisema, watu wanaona k**a utani ila kimsingi mechi yao ya juzi walicheza vizuri, walikosa bahati tu," alisema Kamwe, akionyesha utofauti na kauli za kashfa zinazoweza kutolewa na upande mwingine katika kipindi hiki cha ushindani mkali wa ligi.

Dj Wapeleke Boba amesema kuwa yeye na msanii wake Paten hawawezi kufikia hatua ya kujenga kutokana na kipato chao wanach...
27/02/2026

Dj Wapeleke Boba amesema kuwa yeye na msanii wake Paten hawawezi kufikia hatua ya kujenga kutokana na kipato chao wanachopata kwenye show ni shilingi elfu hamsini.

''Hmna kilichobadilika zaidi ya kuvaa na umaarufu wa mitandaoni hamna mwenye nyumba wala pikipiki hamna mwenye baiskeli sasa elfu hamsini utajenga saa ngapi anko''Amesema-Dj Boba

UNAMUACHAJE SELEMAN MWALIMU KWENDA AFCON 2Nimeona List ya Washambuliaji walioenda Egypt Kambini kabla ya Afcon Nchini Mo...
10/12/2025

UNAMUACHAJE SELEMAN MWALIMU KWENDA AFCON 2

Nimeona List ya Washambuliaji walioenda Egypt Kambini kabla ya Afcon Nchini Morocco 🇲🇦 Dec 28

Kwa Washambuliaji wa Ligi yetu kuna Mzawa Mwenye Ubora wa Seleman Gomez?

Hebu tuache Maskhara kabisaaa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share