Outings Tanzania

Outings Tanzania Time to relax time to have good time. Where and what is happening around? Keep following for updates Time to relax time to have good times.

Keep following us for updates

M T W A R A
16/03/2022

M T W A R A

Jumamosi hii kwa wakazi wa DSM, tunaufunga mwezi kwa kishindo pale Truth Bar and Lounge Mbezi kwa kuporomosha bonge la p...
26/01/2018

Jumamosi hii kwa wakazi wa DSM, tunaufunga mwezi kwa kishindo pale Truth Bar and Lounge Mbezi kwa kuporomosha bonge la party la The . Kabla ya saa sita usiku hakutakuwa na kiingilio baada ya hapo utalipa elfu kumi tu za kitanzania. Usikose wanasemaga tell a friend to tell a friend

VALENTINES Day imewadia na Sunrise wanakuletea Valentine Special, soma tangazo hili kufahamu zaidi.
23/01/2018

VALENTINES Day imewadia na Sunrise wanakuletea Valentine Special, soma tangazo hili kufahamu zaidi.

Ukiwa unaenda Tanga au uko Tanga na hujui wapi pa kwenda kufurai weekends au wakati wa mapumziko mafupi.....hii hotel us...
28/06/2017

Ukiwa unaenda Tanga au uko Tanga na hujui wapi pa kwenda kufurai weekends au wakati wa mapumziko mafupi.....hii hotel usiiache kwenye list zako. New Kwetu Hotel.

African Sun Sand & Sea Beach Resort ni bonge la hotel pale Kisiwani Zanzibar maeneo ya Bwejuu, katika kusherehekea Sikuk...
23/06/2017

African Sun Sand & Sea Beach Resort ni bonge la hotel pale Kisiwani Zanzibar maeneo ya Bwejuu, katika kusherehekea Sikukuu za Eid unakaribishwa kufurahia huduma zao za Mabwawa ya kuogelea, huduma za SPA, misosi bomba, internet ya bure, mziki na burudani kibao. Karibu sana utalipa elfu 10 na kupewa kinywaji bure

EID SPECIAL. K**a ungependa katika sikukuu ya EID uwepo nje ya nyumbani kwako ukisherehekea wewe na uwapendao basi DSM a...
21/06/2017

EID SPECIAL. K**a ungependa katika sikukuu ya EID uwepo nje ya nyumbani kwako ukisherehekea wewe na uwapendao basi DSM au ZANZIBAR panakuhusu sana. Usipitwe na offer hii kabambe,

Ni leo kwa watu wa Dar... tarehe 26 May pale club Rouge Hyat Regency Kilimanjaro Hotel. Cheki picha kwa maelezo zaidi. U...
26/05/2017

Ni leo kwa watu wa Dar... tarehe 26 May pale club Rouge Hyat Regency Kilimanjaro Hotel. Cheki picha kwa maelezo zaidi. Usikose hii na marafiki zako.

Upo pande za DODOMA leo na unawaza wapi ukapate burudani. Leo ni Nyama na Burudani pale Royal Village.
20/05/2017

Upo pande za DODOMA leo na unawaza wapi ukapate burudani. Leo ni Nyama na Burudani pale Royal Village.

Watu wa ukweli wa Sumbawanga the event is coming your way. Msiikose hii siku ya jmosi 20th May 2017. Itakuwa wapi na mud...
17/05/2017

Watu wa ukweli wa Sumbawanga the event is coming your way. Msiikose hii siku ya jmosi 20th May 2017. Itakuwa wapi na muda gani na nani anakuja angalia details zote pichani😉😉

Mwanza Mwanza....jumamosi hii 13th May 2017. Wapi na itakuaje angalia picha upate details zote. Waambie marafiki msikose...
12/05/2017

Mwanza Mwanza....jumamosi hii 13th May 2017. Wapi na itakuaje angalia picha upate details zote. Waambie marafiki msikose hii.

I love the 90's. Hii si ya kukosa na dress code ni 70's to 80's na mwanzoni mwa 90's. Mwambie rafiki msikose hii. Ni Dar...
07/05/2017

I love the 90's. Hii si ya kukosa na dress code ni 70's to 80's na mwanzoni mwa 90's. Mwambie rafiki msikose hii. Ni Dar es salaam pale club Rouge Hyatt tarehe 11May 2017 alhamis. Angalia details zaidi pichani. Tag marafiki waione.

Wana MZUMBE, SUA na JORDAN unis Morogoro....ni leo 28th April club downtown. Meet and meat😉😉
28/04/2017

Wana MZUMBE, SUA na JORDAN unis Morogoro....ni leo 28th April club downtown. Meet and meat😉😉

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Outings Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Outings Tanzania:

Shortcuts

Share