Mjini FM

Mjini FM This is Official Page for Mjini FM 92.5

05/06/2026

CHAMBU CHAMBU | MJINI FM 92.5

Ulipitwa na Mahojiano ya CHAMBU CHAMBU na Mwigizaji Mrembo kutoka Series ya Jua Kali?

Tayari yapo YouTube Channel ya !

Tafuta "Mulky Chambuchambu" kwenye YouTube yetu na usikose mahojiano haya ya kipekee ambapo Mulky amefunguka mengi kuhusu:
- Uigizaji wake
- Series ya Jua Kali
- Maisha yake
- Na mengi mengine!

Ingia YouTube ya Mjini FM sasa hivi! πŸ‘‡

πŸŽ™οΈ Host:


πŸ“» 92.5 MJINI FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
πŸ”— Link kwenye Bio
🌍 www.mjinifm.co.tz

KwetuNiKwako 🎧

05/06/2026

SPORTS KNOCKOUT | MJINI FM 92.5

Baada ya kuwaimbisha Mashabiki wa Yanga, leo anatambulisha rasmi wimbo mpya kuelekea mashindano ya soka kwa Watanzania yatakayofanyika nchini Sweden

πŸŽ™ Hosted by: | | | | | |
πŸ“Έ by

πŸ“» 92.5 FM | 🌍 mjinifm.co.tz |

05/06/2026

SABA SABA SPECIAL | MJINI FM 92.5

Msimu wa Kutangaza Biashara Yako Kwa Ukubwa Umefika! πŸ’ΌπŸ“’

Ni SABA SABA SPECIAL

Fursa yako ya kufikia wateja wengi, kuonyesha bidhaa zako, na kuongeza mauzo iko hapa!

βœ… Kutangaza biashara yako
βœ… Kupata wateja wapya
βœ… Kuonyesha bidhaa na huduma zako
βœ… Kutandaza mtandao wa mawasiliano
βœ… Kuongeza mauzo na faida

Usikose fursa hii ya kipekee!
Tangaza na Mjini FM 92.5 na ufike kwa wengi!

Wasiliana nasi sasa kupata nafasi yako ya matangazo!

✍🏿

πŸ“» 92.5 MJINI FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 www.mjinifm.co.tz

Biashara Tanzania Tangaza MjiniFM KwetuNiKwako πŸ’Ό

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

Hakikisha unatumia Plascon, tena katika rangi unayoitaka wewe.

Madalali wanasema uzuri wa Plascon ni kukupa uhuru wa kuchagua rangi inayolingana na ladha, mazingira na mtindo wako wa maisha.

Rangi yako, uchaguzi wako, Plascon yako.

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

ameshangazwa na utitiri wa yard za magari jijini, akisema karibu kila baada ya mita 100 unakutana na biashara ya kuuza magari.

Madalali wanasema ongezeko hilo linaonyesha jinsi biashara ya magari ilivyozidi kukua, lakini pia linaibua swali la nani ananunua magari yote hayo yanayoendelea kuingia kila siku.

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

Madalali wamethibitisha kuwa kwenye Hip Hop ya Tanzania, ni vigumu kupata msanii wa k**e anayefikia kiwango cha Frida Amani kwa sasa.

Wanasema uwezo wake wa kuandika, freestyle, delivery na uthubutu wa kuzungumza kwenye beat vimemfanya kuwa miongoni mwa sauti zinazoheshimika zaidi kwenye mchezo wa Hip Hop nchini.

Je, unakubaliana na Madalali au una jina jingine unaloliona linaweza kusimama kwenye mjadala huo?

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

MjiniFM

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

ametuelezea namna bora ya ukuaji wa msanii, akisisitiza kuwa mafanikio ya kweli huanza na nidhamu kabla ya vipaji na umaarufu.

Madalali wanasema msanii anayeheshimu muda, kazi yake, mashabiki wake na watu anaofanya nao kazi huwa na nafasi kubwa ya kudumu kwenye tasnia kuliko anayekimbilia umaarufu pekee.

Kipaji kinaweza kukufungulia mlango, lakini nidhamu ndiyo hukufanya ubaki ndani.

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

MusicIndustry

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

Padri mmoja mkoani Songwe ameonesha wasiwasi wake kuhusu tabia inayozidi kuonekana kwa baadhi ya vijana kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wenye umri mkubwa kuliko wao.

Madalali wanasema suala hilo limeibua mjadala mkubwa kwenye jamii kuhusu maadili, uchaguzi wa mahusiano na mabadiliko ya mitazamo ya kizazi cha sasa.

Je, ni uhuru wa mtu binafsi au jambo linalopaswa kujadiliwa zaidi na jamii?

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

Songwe

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

Anza weekend yako na Pepsi ya chupa mkononi mwako. Madalali wanasema weekend nzuri huanza na vibe nzuri, marafiki wazuri na kinywaji kinachoongeza burudani kwenye kila moment.

Pepsi ya chupa, mwanzo mzuri wa weekend yako.

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

WeekendVibes

05/06/2026

BIG CITY BREAKFAST |

πŸŽ™οΈ Hosts:
| |

πŸ”Š Powered by:

πŸ“‘ Sikiliza popote ulipo:
πŸ“» 92.5 FM – Mjini FM
πŸ“Ί YouTube: Mjini FM
🌍 Live Stream: [www.mjinifm.co.tz]

Address

Mlandege Zanzibar
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjini FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category