Magic FM Tanzania

Magic FM Tanzania Magic FM ni radio yako ya maajabu kutoka jijini Dar es Salaam_tz kupitia 92.9

"Kaa Tayari kwa usiku usiosahaulika *Barnaba Classic* anakuja kutikisa Kitunda Relini! Usikubali kupitwa na 'Usiku wa Kw...
29/04/2026

"Kaa Tayari kwa usiku usiosahaulika

*Barnaba Classic* anakuja kutikisa Kitunda Relini! Usikubali kupitwa na 'Usiku wa Kwetu Carnival' hapo New Paradise Park. Burudani nonstop, vibe kubwa la kibabe
kiingilio ni 5,000
Jumamosi tarehe 2/5/2026

Music by and paradise djs Kitunda Relini



Kijichi, jiandaeni! *Barnaba Classic* atakuwa live on stage tarehe 18,Jumamosi kuanzia saa moja jioni ndani ya New Dar S...
17/04/2026

Kijichi, jiandaeni! *Barnaba Classic* atakuwa live on stage tarehe 18,
Jumamosi

kuanzia saa moja jioni ndani ya New Dar Safari Park! Usiku wa kwetu Carnival utawashwa na DJ Tass na DJ Silent. Hutaki kukosa hii!

19/03/2026

Sikukuu ya Eid Pili, Live pale Congo Club & Lounge! Show

Milango itakuwa wazi Kuanzia saa moja jioni na Tunakesha mpaka asubuhi.

Wasanii kibao waalikwa wataperform stage moja na Aslay. Tukutane Mburahati Madoto kwa burudani ya nguvu na DJ Tas pamoja na Congo Club DJs. Kiingilio

5000

Party la Salama inafanyika pale TTG LOUNGE Kimara korogwe On stage Barnaba Classic Entry 10,000 Kuanzia saa 11 jioni mpa...
06/02/2026

Party la Salama inafanyika pale TTG LOUNGE Kimara korogwe

On stage Barnaba Classic

Entry 10,000

Kuanzia saa 11 jioni mpaka majogoo

Address

Lumumba Street
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magic FM Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Magic FM Tanzania:

Shortcuts

Share

Category