GLC MEDIA Productions

GLC MEDIA Productions kumcha Bwana ndio chanzo cha maarifa

Tumeuona mkono wa BwanaPascal Sumuni Ndaki GLC media FUNS gospel news GLC MEDIA Productions GLC MEDIA Productions GLC Me...
14/10/2023

Tumeuona mkono wa Bwana
Pascal Sumuni Ndaki
GLC media FUNS gospel news
GLC MEDIA Productions
GLC MEDIA Productions GLC Media
GLC media
AIC VIJANA BOMANI CHOIR SENGEREMA
Kwaya za A.I.C.

AIC Mutwamwaki Matuu KenyaPascal Sumuni Ndaki GLC MEDIA Productions GLC Media Glc-media Pro
28/08/2023

AIC Mutwamwaki Matuu Kenya
Pascal Sumuni Ndaki
GLC MEDIA Productions
GLC Media
Glc-media Pro

Unaambiwa baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi, ...
28/06/2023

Unaambiwa baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi, ambayo ilitakuwa kuwa Julai 17, mwaka huu, mwenyewe amegoma akisema hadi akitua nchini ndipo atajua kambi inaanza lini.

Yanga kabla ya kuachana na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, ilipanga kambi ya maandalizi ya msimu ujao itakuwa nchini Tunisia kuanzia Julai 17, mwaka huu, lakini baada ya Nabi kuondoka na Gamondi kurithi mikoba yake, ratiba imebadilika.

Chanzo kutoka Yanga, kimetonya kwamba: “Tayari kocha kashaanza kutekeleza majukumu yake ambapo amezuia kambi kuanza Julai 17 na kuwataka viongozi wamsubiri hadi atakapotua nchini wiki hii.

“Kocha amesema atakapotua, ndipo atapanga mwenyewe namna kambi itakavyokuwa na apate muda wa kuzungumza zaidi na viongozi watu atakaoambatana nao kambini.”

Ikumbukwe kuwa, Jumamosi ya wiki iliyopita, Yanga ilimtangaza kocha huyo kurithi mikoba ya Nabi ambapo sasa ana jukumu la kutetea mataji yote waliyobeba Yanga msimu wa 2022/23 ambayo ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Pia jukumu lingine ni kuhakikisha Yanga inacheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24, k**a yalivyo malengo ya uongozi.

10/06/2023

AICT Sengerema Choir Official Video

UTEUZI: CHALAMILA AHAMISHIWA DAR, MAKALLA APELEKWA MWANZARais Samia amefanya mabadiliko kwa Wakuu wa Mikoa ambapo aliyek...
16/05/2023

UTEUZI: CHALAMILA AHAMISHIWA DAR, MAKALLA APELEKWA MWANZA

Rais Samia amefanya mabadiliko kwa Wakuu wa Mikoa ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chalamila anachukua nafasi ya Amos Makalla aliyehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

21/04/2023

ZBC 2

05/04/2023

Official video . @...

26/02/2023
21/01/2023

Gospel News

Address

Ilala
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GLC MEDIA Productions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GLC MEDIA Productions:

Share