Betway & Simba sc- Betting Tips

Betway & Simba sc- Betting Tips 🔴CLICK>>
http://betwinwins.co.tz/affiliates/?btag=2543935 Find the latest Betway Premiership 2025-2026 standings here.

B&S Sports brings you live match updates, real-time results and up-to-date football tables

06/10/2025

🚨🦁 || Simba SC Kukipiga na Al Hilal ya Sudan kwenye Mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki
Klabu ya Simba SC inatarajia kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Sudan, Al Hilal Omdurman, Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa Meja jenerali Isamuhyo, jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa wa kipekee na wa kihistoria kwa sababu kadhaa, lakini kubwa zaidi ni kwamba utakuwa mchezo wa kwanza rasmi kwa meneja mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev 🇧🇬, ambaye amechukua mikoba ya benchi la ufundi kwa matarajio makubwa kutoka kwa mashabiki na uongozi wa klabu hiyo.
Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi kuhusu maandalizi ya mchezo huu, viingilio, muda rasmi wa kuanza, na kikosi kitakachotangazwa na Pantev.
Kwa sasa, andika kwenye kalenda yako — Simba vs Al Hilal, Jumanne hii, Isamuhyo!
Vipi, hapa ushindi unampa nani?

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Betway & Simba sc- Betting Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share