Talent TV Tanzania

Talent TV Tanzania πŸ”΄ Subscribe Talent TV kwa habari za Burudani na michezo LIVE kila siku 24/7🎀
πŸ‘‰πŸΏhttps://y Subscribe in our channel and stay updated 24hrs

09/10/2024

β€œSio rahisi kuwa MVP kwenye Ligi ya Tanzania kwakuwa kuna Wachezaji wengi wazuri k**a Stephen Aziz Ki, Pacome Zouzoua na Feisal Salum ila nitapambana”

- Jean Charles Ahoua, Mchezaji wa SIMBA SC.

Saboso Gin Jr.

Trent ni Liverpool na Liverpool ni Trent.Hizo zingine ni kelele tu πŸ˜‚ no way ataondoka Anfield huyu kijana
07/10/2024

Trent ni Liverpool na Liverpool ni Trent.

Hizo zingine ni kelele tu πŸ˜‚ no way ataondoka Anfield huyu kijana

Jude Bellingham amemfanyia Surprise rafiki yake kipenzi Trent Alexander-Anord katika siku yake ya kuzaliwa kwa kumuandal...
07/10/2024

Jude Bellingham amemfanyia Surprise rafiki yake kipenzi Trent Alexander-Anord katika siku yake ya kuzaliwa kwa kumuandalia picha hiyo.

FOLLOW US.

07/10/2024

Mama mzazi wa , Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu.

Mama Diddy amemtetea mwanae kupitia barua ya wazi inayoeleza yanayoendelea kwa Diddy ni uongo na uchochezi kwa wanaotaka faida ya fedha.

"Mwanangu sio mnyama wanamchoresha kuwa hivyo, ni mzaha na kucheka maisha ya mwanangu yakiporomoka mbele ya macho yetu ni jambo ambalo siwezi kusahau kamwe".

"Inasikitisha kuona ulimwengu ukigeuka dhidi ya mwanangu juu ya uwongo na maoni potofu bila kusikia upande wake. Uongo huu unaotupwa huchochewa na wale wanaotafuta faida ya kifedha na sio haki" - Maeleozo ya Mama Diddy

Mpaka sasa Diddy anatuhumiwa makosa 120 ya madai ya unyanyasaji wa kingono.

"Suala la kuondoka kwangu halina tatizo lolote na Uongozi wa klabu ya Simba SC, ninataka mashabiki wafahamu kuwa nina ta...
29/04/2024

"Suala la kuondoka kwangu halina tatizo lolote na Uongozi wa klabu ya Simba SC, ninataka mashabiki wafahamu kuwa nina tatizo la kifamilia, niweke wazi mke wangu ana tatizo la kiafya ambalo limesababisha kusitisha mkataba wangu na Klabu hii ambayo ninakiri ninaipenda sana.”

β€œTatizo hili la kiafya la mke wangu lilipelekea akili yangu kushindwa kutulia, kwa hiyo niliona kuna haja ya kuongea na uongozi wangu ili kupata wasaa wa kurudi nyumbani kushirikiana na familia yangu kumuuguza mke wangu.”

β€œNilitamani kulitatua tatizo la mke wangu nikiwa hapa Tanzania, lakini imeshindikana, Uongozi wa Simba SC ulinionesha ushirikiano mkubwa katika hili, lakini bado nikaona kuna haja ya kurudi nyumbani ili niwe karibu na mke wangu.”

Abdelhak Benchikha – Aliyekuwa Kocha Simba SC

Haya huu ndio ukweli na utabaki ukweli siku zote...
28/04/2024

Haya huu ndio ukweli na utabaki ukweli siku zote...

27/04/2024

Relax... Kuna mipango mikubwa MUNGU anakupangia πŸ™

Follow Sports kitaa

Wote wawili wanaweza kucheza Ligi Kuu Morocco msimu ujao k**a kila kitu kitaenda sawa, Beki Inonga anahitajika sana na F...
25/04/2024

Wote wawili wanaweza kucheza Ligi Kuu Morocco msimu ujao k**a kila kitu kitaenda sawa, Beki Inonga anahitajika sana na FAR Rabat na Lakred The Keeper anahitajika sana na wababe wa Casablanca wale Raja, wote wapo tayari kuondoka ugumu ni kwa Inonga tu hapo ambaye bado ana mkataba na Simba wa muda mrefu kidogo.

Sports kitaa

King Crazy GK ,Mfalme wa East Coast ,mwenyewe alikua akijiita amiri jeshi Mkuu wa East Coast. Alitamba na Ngoma Kali zen...
24/04/2024

King Crazy GK ,Mfalme wa East Coast ,mwenyewe alikua akijiita amiri jeshi Mkuu wa East Coast. Alitamba na Ngoma Kali zenye mafunzo ndani yake,kiufupi huyu ndie alikua tafsiri halisi ya Msanii kioo cha jamii.
Ngoma gani unaikubali kutoka Kwa mwamba wa upanga?
1.Simba wa Africa Ft Pauline Zongo
2.Sister sister Ft Pauline Zongo
3.Tutakukumbuka Ft TID
4.Nitakufaje
5.Sauti ya Manka Ft Pauline Zongo
6. Nitakupa nini(Mama) Ft John Mahundi& Carolla kinasha
7.Wapi tunaelekea Ft O-Ten &For Q
8.Saa Mbaya Ft O-Ten& Buff G
9.Chaupele Ft TID
10.Tuko pamoja ft Pauline Zongo
Mwamba alitengeneza combination Kali sana na mwanadada Pauline Zongo.
Sports kitaa

Kabila gani ukioa umepata mke na nusu?
20/04/2024

Kabila gani ukioa umepata mke na nusu?

π——π—’π—‘π—˜ π——π—˜π—”π—ŸπŸš¨ ; Klabu ya Simba imefanikiwa kumalizana na klabu ya Maneima Fc ya Drc Congo kuinasa saini ya Max Zengeli kwa ...
10/04/2024

π——π—’π—‘π—˜ π——π—˜π—”π—Ÿ

🚨 ; Klabu ya Simba imefanikiwa kumalizana na klabu ya Maneima Fc ya Drc Congo kuinasa saini ya Max Zengeli kwa mkataba wa miaka 2.Max Zengeli ambaye kwa sasa anamaliza mkataba wake wa mkopo ndani ya Yanga atajiunga rasmi na Simba mwishoni mwa msimu huu.

Kutoka kwenye vyanzo vya habari nchini Kinshasa Wakala Florence Mukandila ndio amekamilisha dili hili na tajiri Mohammed Dewji wiki mbili zilizopita ofisini kwake Pspf Tower "Posta".

Max Zengeli hana mahusiano mazuri kwa na kocha wake Miguel Angel Gamondi na ndio sababu kubwa ya kutaka kujiunga na Simba msimu ujao.

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Talent TV Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share