Egbert Carter

Egbert Carter 𝕽𝖔𝖒𝖆𝖓𝖘 𝟖:𝟏𝟖 ✞
theprintsofdsm.com

Kitu chochote kinaweza kuwa na NGUVU mara tu tunapoweka IMANI yetu ndani yake KIKAMILIFU.
08/03/2026

Kitu chochote kinaweza kuwa na NGUVU mara tu tunapoweka IMANI yetu ndani yake KIKAMILIFU.

UKIMYA ni chanzo kikubwa cha AMANI.
08/02/2026

UKIMYA ni chanzo kikubwa cha AMANI.

Mwenyezi Mungu ndiye anayejua kwanini amekuweka kwenye hayo maisha au kwenye hyo hali ulionayo sasa, hivyo unachotakiwa ...
31/01/2026

Mwenyezi Mungu ndiye anayejua kwanini amekuweka kwenye hayo maisha au kwenye hyo hali ulionayo sasa, hivyo unachotakiwa kufanya ni kushukuru nakuishi vile impasavyo yeye .

07/09/2025

K**a umeamka salama siku ya leo sema
ASANTE MUNGU 🙏🏾

28/08/2025

K**a umemaliza siku yako na imeenda salama sema
ASANTE MUNGU 🙏🏾

HUWEZI KUJIFUNZA CHOCHOTE K**A UNAAMINI UKO SAHIHI KILA WAKATI...!!!
07/12/2024

HUWEZI KUJIFUNZA CHOCHOTE K**A UNAAMINI UKO SAHIHI KILA WAKATI...!!!

Usijidharau hata siku moja kwa maana uwepo wako ndio unamkamilisha mwingine.
29/11/2024

Usijidharau hata siku moja kwa maana uwepo wako ndio unamkamilisha mwingine.

26/11/2024

Ni siku nyingine tena ya kumshukuru M/Mungu.

Address

Dar Es Salaam

Website

http://www.theprintsofdsm.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Egbert Carter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Egbert Carter:

Share