AZIZI BANKS TV

  • Home
  • AZIZI BANKS TV

AZIZI BANKS TV Tv online | Producer | Digital creator

21/08/2024

18/08/2024
05/06/2024

🤔🤔🤔🤔🤔

Yaaap 🔥
27/03/2024

Yaaap 🔥

https://youtu.be/B9Owuvx6fCQ?si=HiVald0lmHvYXKyEPENZI LA KIZIMKAZI ni movie ya kiafrica itakayokua inaruka hapa kwe Chan...
06/03/2024

https://youtu.be/B9Owuvx6fCQ?si=HiVald0lmHvYXKyE

PENZI LA KIZIMKAZI ni movie ya kiafrica itakayokua inaruka hapa kwe Channel yetu ya YOUTUBE AMPRO TZ 🇹🇿🇹🇿
Tunaomba 🙏 kuitazama, comment na kulike ku share
Tunaomba u-subscribe channel yetu 🙏🙏🙏

🫡💔
29/02/2024

🫡💔

Mahitaji yanahitaji mtu mwenye uhitaji ✍️
27/11/2023

Mahitaji yanahitaji mtu mwenye uhitaji ✍️

18/08/2023

Mwanaharakati Dkt Slaa Amerejea nyumbani kwake mbweni Dar es Salaam Mara baada ya kuachiwa kwa dhamana na polisi ambao walikuwa wakimshikiria kwa kosa la UHAINI, baada ya kurejea Slaa amepokelewa na Askofu Mwamakula na kufanyiwa maombi Maalumu.

18/08/2023

malaika

Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mwasilimbi kata ya Ihusu Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wanashikiliwa na Jeshi la Pol...
18/08/2023

Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mwasilimbi kata ya Ihusu Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo, kwa tuhuma za kukutwa na Wanyamapori aina ya swala 28 wakiwa wamewaua.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Edith Swebe akizungumza na waandishi wa Habari leo Ofisini kwake, amasema kuwa watu hao walikamatwa katika opereisheni ya pamoja kati ya Jeshi la Polisi na Jeshi la Uhifadhi.

Swebe amewataja watu hao kuwa ni Masunga Madede (58), Musa Masunga (28) na Yunis Makwaya (45) wote wasukuma na wakazi wa kijiji hicho cha Mwasilimbi.

“ Watuhumiwa hawa walikutwa na Nyara za serikali ambazo ni wanayamapori swala 28 aina ya Thomson wakiwa wameuawa, Swala hao walikuwa wamepatikiwa kwenye Pikipiki aina ya KingLion nyekundu iliyosajiliwa kwa namba T.874 CUA” Amesema Kamanda Swebe.

Hata hivyo Mkuu huyo wa Polisi ameeleza kuwa watuhumiwa pamoja na vielelezo watafikishwa mahakani kwa hatua za kisheria.

18/08/2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kufanya uchunguzi wa kina katika soko hilo na watakao bainika hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao.

Aidha RC Chalamila amekemea watu wachache, wabinafsi, katika soko hilo kukwamisha jitihada za serikali na kamwe wasijaribu hata kidogo masoko lazima yaboreshwe Serikali ikusanye mapato yake na wafanyabishara wafanye biashara zao sehemu rafiki.

Hata hivyo RC Chalamila amebainisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan dhamira yake ni kuboresha masoko tayari kiasi cha milioni 600 kimetengwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa ajili ya kuanza kazi ya kuboresha Soko hilo.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AZIZI BANKS TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AZIZI BANKS TV:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share