18/10/2024
Tanzago la Bei kwa huduma za Social Media Design kutoka Urban Techz lina aina mbalimbali za vifurushi vilivyobuniwa kwa uangalifu ili kukidhi mahitaji ya wateja wanaotafuta matangazo na maudhui bora ya mitandao ya kijamii.
1. Vifurushi vya Msingi: Kwa TZS 150,000 ($60), unapata huduma ya kubuni 20 posters na 5 highlights kwa Instagram kila mwezi. Utapokea mabango matano kila wiki kwenye siku za kazi na chapisho moja maalumu kwa sikukuu za kitaifa.
2. Vifurushi vya Kati: Kwa TZS 250,000 ($100), huduma hii inajumuisha mabango 20 pamoja na 04 reels za video za kipekee. Utapata chapisho moja kwa siku (wiki 4) na video moja ya reel kwa wiki.
3. Vifurushi vya Kati Juu: Kwa TZS 350,000 ($135), unapata 30 posters, 06 reels, na 08 Instagram highlights. Pia kuna mpangilio wa maudhui kwa kila siku.
4. Vifurushi vya Juu: Kwa TZS 450,000 ($170), unapata mabango 30, 08 reels, 08 highlights, na huduma ya kupiga picha (picha 4 rasmi) kwa mwezi.
5. Vifurushi vya Premium: Kwa TZS 550,000 ($210), kifurushi hiki kinatoa huduma ya 30 posters, 12 reels, na mpangilio wa maudhui wa kila siku pamoja na picha rasmi za kitaalamu (picha 10) mara mbili kwa mwezi.
Tunatoa huduma bora zaidi ili kuhakikisha biashara yako inakua kupitia mitandao ya kijamii. Lipia 50% awali, kisha maliza malipo baada ya wiki mbili. Je, unatafuta njia bora ya kufikia wateja wako mtandaoni? Fanya maamuzi sahihi leo na Urban Tech Tz.
Wasiliana Nasi:
Lipa kupitia M-Pesa: 0768 871 714 (Gezza Simon)
Mawasiliano: 0768871714
Twende sambamba na maendeleo ya kidigitali!