Habari Maalum TV

Habari Maalum TV Habari Maalu is located at Kurasini Dar es salaam Tanzania
Startimes chanel 126 Azam Other chanel 12

10/10/2024
09/06/2024

KARIBU KUFUATILIA KIPINDI CHA KUTOKA KANISANI

07/06/2024

PRAYER ZONE

07/06/2024

CHANGIA HABARI MAALUM TV

07/06/2024

KANISA LINAPO TENGA WASHIRIKA WENGI NANI ALAUMIWE KATI YA MCHUNGAJI AU MSHIRIKA?

06/06/2024

HESHIMU MAJIRA YA KUTOKA MCH.IMANI SAMWELI

06/06/2024

AZAM OTHER CHANEL NO 12

06/06/2024

Shalom asante kwa kuendelea kutazama Habari Maalum Tv na kutuchangia tunaomba utushike mkono tena kwa kiwango chochote kile Mungu atakachokujalia kwa kupitia namba zifuatazao

Mpesa 0747 000 333 Jina Habari Maalum Tv
Tigo pesa 0673 000 333 Jina Habari Maalum Tv
CRDB Bank 0150754643600 Jina FPCT Habari Maalum Tv

Mungu aendelee kukubariki wewe na familia yako.

Kutoka 35
29 Wana wa Israeli wakaleta sadaka za kumpa Bwana kwa moyo wa kupenda; wote, waume kwa wake, ambao mioyo yao iliwafanya kuwa wapenda kuleta kwa hiyo kazi, ambayo Bwana aliamuru ifanywe kwa mkono wa Musa.

06/06/2024

KARIBU KUFUATILIA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA

25/05/2024

MKUTANO MKUBWA WA INJILI KAHAMA

Cc Upendo Nkone Boaz Danken

Jumamosi hii kupitia kipindi cha Gospel Top Ten  atakuwa na mtumishi wa Mungu waimbaji wa nyimbo za injili  kuzungumzia ...
09/05/2024

Jumamosi hii kupitia kipindi cha Gospel Top Ten atakuwa na mtumishi wa Mungu waimbaji wa nyimbo za injili kuzungumzia ujio wa wimbo wake mpya, huduma yake na mambo mengine mengi.
Usiache kutazama jumamosi hii kwanzia saa 8 kamili mchana hadi 10 kamili jioni.

🔴GOSPEL STORIES & UPDATES | INTERVIEW | TOP TEN | TOP QUOTE

- startimes channel no 126 & azam tv channel no 12 (other channels)

12/04/2024

Usikose kutazama kipindi cha KUTOKA KANISANI kila siku ya jumapili saa 3 kamili usiku utapana nafasi ya kuona ibada mbambali ambazo tumepata nafasi sisi kufika kwenye makanisa hayo pia unaweza kuwasiliana nasi k**a unatamani tufike kanisani kwako siku ya jumapili.

Wasiliana nasi kupitia 0758 75 39 39

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Maalum TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari Maalum TV:

Share