Michael dony

Michael dony Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Michael dony, TV Channel, Dar es Salaam.

Ubora ndio lengo letu..
29/06/2023

Ubora ndio lengo letu..

Pic
22/06/2023

Pic

Milk Tips
18/06/2023

Milk Tips

1. Hujenga na kulainisha ngozi👉Hivyo basi, ni wazi kuwa, vitamini na virutubisho vilivyoko katika maziwa ni muhimu kwa a...
16/06/2023

1. Hujenga na kulainisha ngozi
👉Hivyo basi, ni wazi kuwa, vitamini na virutubisho vilivyoko katika maziwa ni muhimu kwa ajili ya ngozi bora. Ni vyema kunywa angalau bilauri moja ya maziwa kila siku.
2. Huimarisha meno
👉Maziwa ni chanzo bora cha madini ya kalisiamu, hivyo basi maziwa ndicho kitu halisi kinachohitajiwa na meno yetu. Pia maziwa huzuia kutoboka na kuoza kwa meno.
3. Huimarisha mifupa
👉Ni ukweli usiopingika kuwa watoto wanahitaji kunywa maziwa ili kuimarisha ukuaji wao.
4. Kujenga misuli
👉Maziwa yana mchango mkubwa katika ukuaji wa misuli. Hili ni kutokana na protini zinazopatikana katika maziwa.
5. Kupunguza uzito.
👉Utafiti unaonesha kuwa wanawake wanaokunywa maziwa hupunguza uzito zaidi kuliko wale wasiokunywa.
6. Huondoa msongo wa mawazo.
👉Hebu fikiri juu ya vitamini na virutubisho vilivyoko kwenye maziwa; hivi huweza kuondoa msongo.
7. Huzuia maumivu wakati wa hedhi
👉Wanawake wengi wanakabiliwa na maumivu wakati wa hedhi. Maziwa yamedhibitishwa kuzuia na kupunguza maumivu haya kwa kiasi kikubwa.
8. Huongeza nguvu za mwili
👉Je unaishiwa nguvu mapema au kuchoka sana? K**a jibu ni ndiyo, unahitaji virutubisho vilivyoko kwenye maziwa.
9. Huondoa kiungulia
Kiungulia huwasumbua sana watu wengi. Kiungulia husababishwa na asidi zipatikanazo tumboni. Hivyo maziwa (ambayo si mgando) hutengeneza utando maalumu tumboni ambao hupambana na asidi hizi.
10. Hupambana na maradhi mengine
Kwa miongo kadhaa tafiti zimebaini kuwa maziwa huzuia magongwa kadha wa kadha.

Karibu Kijichi
17/12/2021

Karibu Kijichi

No. 0672800001 uletewe ulipo
25/05/2019

No. 0672800001 uletewe ulipo

Simu no. 0672800001
25/05/2019

Simu no. 0672800001

No. 0672800001
25/05/2019

No. 0672800001

25/05/2019
Popote ulipo unaletewa ndani ya Dar es Salaam bei nafuu pendeza kwa vitu vya asili na sikukuu ya Ramadhani kwa mawasilia...
25/05/2019

Popote ulipo unaletewa ndani ya Dar es Salaam bei nafuu pendeza kwa vitu vya asili na sikukuu ya Ramadhani kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0672800001

Msimu huu wa siku kuu Ramadhani pendeza na vitu vya asili popote ulipo Ndani ya Dar es Salaam unaletewa na bei nafuu kab...
25/05/2019

Msimu huu wa siku kuu Ramadhani pendeza na vitu vya asili popote ulipo Ndani ya Dar es Salaam unaletewa na bei nafuu kabisa mawasiliano no.0672800001

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michael dony posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category