
16/01/2025
Ok kuna vocha ya buku5 kwa mtu wa Kwanza atakae jibu maswali haya ma tano kwa usahihi
Swali la 1 huyu anaitwa Nani
2 wote tunajua ni mmarekani ila alizaliwa Jimbo Gani
3 album yake ya Kwanza ilitoka mwaka Gani
4 ana album ngapi
5 Ana watoto wa ngapi
Ukipatia nakutumia vocha yako fastaπ