Wetechnology Academy

Wetechnology Academy Filamu,harusi

03/06/2026
Drone ni moja ya program muhimu tunazofundisha hapa Wetechnology Academy. Tunawakaribisha wasichana, wanawake pamoja na ...
29/05/2026

Drone ni moja ya program muhimu tunazofundisha hapa Wetechnology Academy. Tunawakaribisha wasichana, wanawake pamoja na vijana wote wenye ndoto ya kujifunza teknolojia ya kisasa kuja kujifunza urushaji wa drone kwa vitendo na weledi mkubwa.

Kupitia mafunzo haya utapata ujuzi wa kisasa unaoweza kukusaidia kujiajiri, kuongeza kipato, na kufungua fursa mpya katika dunia ya photography, videography na content creation.

Address

Sala Sala Mbezi Beach
Dar Es Salaam
600050

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255659594519

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wetechnology Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wetechnology Academy:

Share