04/01/2026
“Anaitwa Rebecca Msaku, ni muhitimu wa Shahada (Degree) ya Information Technology. Ni miongoni mwa wanafunzi waliopitia Wetechnology Academy kwa lengo la kuongeza maarifa na ujuzi wa vitendo. Tunaamini kuwa ujuzi ni maisha, na kupitia mafunzo yetu tunajenga uwezo unaobadilisha ndoto kuwa fursa halisi.”