Mugisher Talks Sports

Mugisher Talks Sports πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tunaishi, tunaongea na tunajenga mpira wetu⚽.
πŸŽ™οΈ Maoni | πŸŽ₯ Stories | 🏟️ Matchday | 🌱 Vipaji

19/09/2026

Yanga acheni hizi mambo za kupenda sana Camera zitawaumbua aisee mdogo mdogo

19/09/2026

Mbona k**a huyu mchezaji wengi mnamjua au sio yeye jamani 🀣🀣🀣🀣🀣

Ni muda sasa Yanga kutafuta replacement sahihi za hawa mabwana wapo kikosini lakini nafasi bado finyu, Jana tumeona hata...
19/09/2026

Ni muda sasa Yanga kutafuta replacement sahihi za hawa mabwana wapo kikosini lakini nafasi bado finyu, Jana tumeona hata mechi ya kirafiki hawapati dakika! 🟑🟒

Wachezaji wa Young Africans wanaopambana mazoezini na kwenye mechi za kirafiki kusaka dakika za kucheza kwenye kikosi cha kwanza au. Je, wanastahili kupewa nafasi zaidi?"

Shukran  kuwaona familia mpya ndani ya mugishertalksports . Kwa pamoja tujenge mpira wetu Bin Said, Jacob Mwakatumbula, ...
18/09/2026

Shukran kuwaona familia mpya ndani ya mugishertalksports . Kwa pamoja tujenge mpira wetu Bin Said, Jacob Mwakatumbula, Masanja Masanja, Abdul Kuyambuka, Israel Issa Zebadia, Saleh Simba, Joseph Lupa, Thom Mwakasege, Alfaqiyr Muhammad, Keneth Mathayo, Bernard Magubu, Mathias Malingwendo, Dybala Alcantala, Steven Masawe, Daudi Alex, Abdillah Issa, Emanuel Makalabo, Dotto Sigili Nyawawa, Duwa Juma, Omari Saidi, Emmanuel Mtura, Abdallah Mbinga, Fortunata Swai, Fulaha Mwalingo, Ali Idd, James Mkwati, Prosper Swai, Nurdin Aboubakar, Renatusi Bunzari, Gbless Tarimo, Yohana Msagati, Kaona Jambo, Haji Lunkombe, Godfrey Kabika, Jaki Joseph, Rukia Bwalu, Enock Konoradi Ndayata, Mau Maulid, Kabunga Tumaini, Dickson Kenani, Deus Benjamin, Swaumu Pandu, Pangahela John, Yusufu Nanyenje, Demetrius Nindi, Mavin Makle, Nzinza Jr., Juma Rajabu, Elia Boaz, Ally Ligelewa

18/09/2026

Simba Confidence yao ipo chini sana. Au vichapo vya Yanga vimeanza kuwazuzua maana mambo wanayo ongea ya ajabu sana

18/09/2026

Kwani wewe Ijumaa unaendaa wapi eti.?. Basi huko unakoendaga aga mapema waambie utapitia uhuru kwanza Yanga wanacheza. Kabla International Break haijapamba moto Yanga wana mpango wa kucheza tena mchezo wa kimtaifa na St, George ya Ethiopia

Hii hapa taarifa yao

"Tutacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki ijumaa ya tarehe 18.09.26 dhidi ya St. George ya Ethiopia kwenye Uwanja wa Uhuru , saa 12:00 jioni."

Na viingilio wameweka poa sana

MZUNGUKO - BUKU TATU TUU 3,000
VIP - MTEZI 10,000

Ndo muda wa kukaa VIP k**a hujawahi chance zenyewe ndo hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ to see

17/09/2026

Huu ushangiliaji wa mangungu wapi umewahi kuuona kabla? Hii ni ya kipekee, mwenyekiti akisherehekea ushindi wa Simba tabasamu ya mtu anayejua thamani ya mapambano.

Kwani wewe Ijumaa unaendaa wapi eti.?. Basi huko unakoendaga aga mapema waambie utapitia uhuru kwanza Yanga wanacheza. K...
17/09/2026

Kwani wewe Ijumaa unaendaa wapi eti.?. Basi huko unakoendaga aga mapema waambie utapitia uhuru kwanza Yanga wanacheza. Kabla International Break haijapamba moto Yanga wana mpango wa kucheza tena mchezo wa kimtaifa na St, George ya Ethiopia

Hii hapa taarifa yao

"Tutacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki ijumaa ya tarehe 18.09.26 dhidi ya St. George ya Ethiopia kwenye Uwanja wa Uhuru , saa 12:00 jioni."

Na viingilio wameweka poa sana

MZUNGUKO - BUKU TATU TUU 3,000
VIP - MTEZI 10,000

Ndo muda wa kukaa VIP k**a hujawahi chance zenyewe ndo hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwanzo mzuri kwa Simba Simba Sports Club πŸ‘ na Kocha wao Steve Baker Steve Barker βœ… Ushindi wa mechi nane🧀 Clean sheet ta...
17/09/2026

Mwanzo mzuri kwa Simba Simba Sports Club πŸ‘ na Kocha wao Steve Baker Steve Barker

βœ… Ushindi wa mechi nane
🧀 Clean sheet tano
βœ… Wamesonga mbele kwenye hatua inayofuata CAF Championd League

Kabla ya International Break, Tujiulize je huu ndo msimu wa Simba kubeba makombe yote.?

16/09/2026

Mambo matano ya kujifunza AZAM 0-2 Simba sports club.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mugisher Talks Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share