10/10/2025
Kwenye picha hapo unapata kuona Flame ya Nyumba ambayo ni Map ya mjengo ambayo sio halisi ila ni CGI ( computer graphics image ) Wazo lilikuja baada ya kutaka kuunda lamani ya Studio flani hivi.
kwa ufupi ni Asset iliyo undwa au kuchorwa na computer pekee kwa kutumia kuunganisha 3D polygons na textures materials & lighting system pamoja na Rendering N.K ndo nikaunda iyo Picha.
•Hii ni asset inayo chukua muda kidogo kushape geometric nzima ya Studio hiyo katika uundaji wake
Na hapa nimeifanya kwa njia Raisi tu kuunda kwake ila changamoto ilikua kuunda material ya kioo ila na shukuru nili weza baada ya ku strangle kidogo.
•Hapa Nimeonyesha kwa ujumla matokeo niliyo yapata baada ya kufanya Rendering ndo tunapata kuiyona hiyo picher.
•Bila shaka ninatumaini unalolote la kusema hapo kwenye comment usiogope kutoa mtazamo wako bila kusahau ku like na ku share kwa wengine na mimi bado nitaendelea kupost atuazote nilizo pitia kwenye hii post ama project hivyo usisahau kuni follow kwenye page hii ya Facebook na vilevile na patikana kwenye Instagram basi niseme asante na tukutane kwenye Post ijayo.
NI FOLLOW KWENYE MITANDAO MENGINE KUPITIA LINKS AMBAZO ZIKO CHINI HAPA:
YOUTUBE:
Channel yangu ya instrumentals beats ya YouTube
Link:
https://www.youtube.com/
AUDIOMACK:
Sikiliza nyimbo zetu kwenye Audiomack
Link : https://audiomack.com/wwwxhawiz100
•YOUTUBE CHANNEL:
Ya nyimbo za msanii ambae nimefanya mixing kwa mikono yangu
Link :
https://youtube.com/playlist?list=PLc8rP-FA3_Y58mtpBZATJKaMeMQlpzPnC&si=8ijkr_vkAGFpkQfu
•TELEGRAM:
Download nyimbo zetu zote kupitia Teregram.
Link :
https://t.me/Gomajipyatz
Pia na wakalibisha kwenye group letu jipiya tujekujadili kuhusu ubunifu wetu na kupeana support link: https://chat.whatsapp.com/D4nJMgcctKI7trDtKskuUQ
Created by beka