19/02/2024
Kumekucha! kwa kushirikiana na Manyasi Media inakuletea A NIGHT OF POETRY MAGIC AND LIVE MUSIC, tarehe 02/3/2024 pale NAFASI ART SPACE. Kupitia tukio hilo tutasherehekea mafanikio ya wanawake, kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya wanawake, na kuhamasisha mabadiliko chanya kuelekea siku ya mwanamke duniani huku tungo na burudani ikiendelea kurindima kutoka kwa wasanii mahiri kuanzia Saa12 jioni hadi Saa4 Usiku.
Jipatie tiketi yako leo, kwa Tsh.15,000 tu kupitia Mpesa Lipa namba : 5814223 : NEEMA S.ABEID
Hii siyo ya kukosa!!
Mawasiliano Zaidi:
0699344300
0758431802
Cc Boresha Radio