
26/05/2025
π¨ Taarifa kwa Umma
Bethel Radio inatafuta fursa za ushirikiano wa kimkakati ilikuimarisha shughuli zetu za kupanua wigo wa huduma zetu.
Tumefungua mlango wa Uwekezaji, Ubia na Ushirikiano wa kiubunifu unaoendana na dhamira yetu ya kuendeleza kazi ya ufalme wa Mungu kupitia Media.
Tunakaribisha watu Binafsi au taasisi!