Continental decoder tanzania

Continental decoder tanzania welcome continental decorde tanzania is true decoder and quality picture and channel

04/06/2015

huduma ipoje ?

04/06/2015

mbona ait sport hatuipati jamani

04/06/2015

WELCOME TO CONTINENTAL COSTUMER CARE ONLINE NOW
furahia huduma kabambeee

03/06/2015

NDUGU MTEJA K**A KUNA MAONI , USHAURI AMA KERO USISITE KUCHAPISHA KATIKA UKURASA WETU WA CONTINENTAL NASI TUTATATUA KERO YAKO SASA KARIBUNI

03/06/2015

STAR GUIDE
ndugu mteja tunaomba radhi kwa kukatika kwa matangazo yetu katika baadhi ya channel kutopatikana kwa ubora na kutokuwepo kwa sauti sahihi kwenye channel pamoja na baadhi ya channel kutoa sauti bila picha hii ni kutokana na kuwepo kwa ufundi wa mitambo na kuongeza baadhi ya channel katika king'amuzi kwa wale mliopo mikoani na ndani ya mkoa k**a haupati vizuri channel zetu usisite kutuma ujumbe hapa kwenye

03/06/2015

STAR GUIDE
kaa tayari kufurahia channel bomba za ligi kuu za mpira barani afrika ndani na nje ya nchi ni katika king'amuzi chako cha continental pekeee

03/06/2015

STAR TV & CONTINENTAL IKISHIRIKIANA NA SAHARA MEDIA
inawatakiwa ndugu wateja wake wa continental likizo njema na heri katika mfungo wa ramadhani unaokujia hivi karibuni tunawatakia siku njema ahsanten......

31/05/2015

CONTINENTAL DISH RECEIVE
pata king'amuzi chako cha dish sasa kwa bei nafuu kwa msimuu huu channel na vipindi vya kufa mtu banjuka na continental pekeee

31/05/2015

karibu continental sasa king'amuzi chako cha continental ikishirikiana na sahara media inakuletea channel za kusisimua na kukupatia burudani ya kipekeeee jipatie sasa king'amuzi chako chenye ubora wa hali ya juu hakischratch ni chenye wangavu na picha yenye ubora inatumia USB ina HIDM inauwezo wa kurekodi matangazo na vipindi vingine jipatie sasaaa
CONTINENTAL NDIYO HABARI YETUUU

11/05/2015

habari za wakati huu ndugu wateja wetu

25/04/2015

habari za wakati huu

21/04/2015

king'amuzi cha continental kinakuletea channel mpya ya kipekee itakayokupa burudani ya aina yake ni STAR BOLLWOOD itakayokujia hv karibuni furahia movie za kitanzania kupitia chanel yetu ya star bollwoody inayopatikana katika king'amuzi cha continental pekee

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Continental decoder tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share