KABAK MEDIA

KABAK MEDIA KABAK MEDIA
Media/News/Publishing KABAKI MEDIA simply defines a brand as the idea or image of a specific products or services that consumers connect with.

KABAKI MEDIA is a multimedia and graphics design business that offers consultancy and support , comprehensive marketing solutions for various industries and business be it small, medium or large business. Branding is when that idea or image is marketed so that it is recognizable by more and more people. KABAKI MEDIA works on branding not only to build brand recognition, but also to build good repu

tations and a set of standards. Having experienced and professional staff working on local and international market, you are guaranteed with tailor made development plan to provide your business with a powerful presence whether it’s on internet, TV, Radio or printed materials so as to bring an increase in sales and brand visibility.

‪Mwimbaji Staa wa Bongofleva   ambae yupo Congo DRC amethibitisha kurekodi ngoma ya pamoja na Staa wa Congo Fally Ipupa ...
30/04/2019

‪Mwimbaji Staa wa Bongofleva ambae yupo Congo DRC amethibitisha kurekodi ngoma ya pamoja na Staa wa Congo Fally Ipupa “when you make a smash hit, shake on it”

‪Huyu ndie Anna Khramtsova (31) mmoja wa Walinzi wa Rais Putin ambae ametajwa kuwa Mlinzi wa k**e Mrembo na mwenye mvuto...
30/04/2019

‪Huyu ndie Anna Khramtsova (31) mmoja wa Walinzi wa Rais Putin ambae ametajwa kuwa Mlinzi wa k**e Mrembo na mwenye mvuto zaidi Nchini Urusi baada ya kuwashinda wenzake 1,000 katika shindano la uzuri linalowahusisha Walinzi nchini humo la National Guards Beauty contest.

 :Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi na kamati ya ushindi waahidi milioni 20 kwa kila mchezaji wa...
12/04/2019

:Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi na kamati ya ushindi waahidi milioni 20 kwa kila mchezaji wa Serengeti Boys endapo watashinda mechi mbili katika mashindano ya Afcon U-17.

TAIFA STARS vs BOTSWANA: Mwamuzi wa kimataifa, Elly Sasii kuchezesha mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Stars ya Tanzania ...
01/09/2017

TAIFA STARS vs BOTSWANA: Mwamuzi wa kimataifa, Elly Sasii kuchezesha mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Zebras ‘Pundamilia’ ya Botswana utakaofanyika kesho Jumamosi Septemba 2 na kurushwa LIVE kupitia Azam Sports 2.

Katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam waamuzi wasaidizi watakuwa Soud Lillah (Line 1) na Frank Komba (Line 2) wakati mwamuzi wa akiba (Forth Official) atakuwa Israel Nkongo.

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KENYA YAFUTWA:Kwa mujibu wa Jaji Mkuu, David Maraga, Tume ya uchaguzi ilikiuka katiba na she...
01/09/2017

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KENYA YAFUTWA:
Kwa mujibu wa Jaji Mkuu, David Maraga, Tume ya uchaguzi ilikiuka katiba na sheria katika baadhi ya mambo na hivyo kuathiri matokeo ya uchaguzi.

Uchaguzi unatakiwa kurudiwa ndani ya siku 60. Kwa maana hiyo kwa mujibu wa wachambuzi uchaguzi huo utatarajiwa kurudiwa Novemba Mosi.

UEFA champions league play off round.
16/08/2017

UEFA champions league play off round.

C. Ronaldo kufungiwa mechi tano na shirikisho la soka nchini Hispania, baada ya kumsukuma mwamuzi wa kati.
14/08/2017

C. Ronaldo kufungiwa mechi tano na shirikisho la soka nchini Hispania, baada ya kumsukuma mwamuzi wa kati.

Ali mayai afunguka ya moyoni baada ya kuukosa uraisi TFF
14/08/2017

Ali mayai afunguka ya moyoni baada ya kuukosa uraisi TFF

Misosi watawazwa kuwa mabingwa wa ndondo cup 2017
14/08/2017

Misosi watawazwa kuwa mabingwa wa ndondo cup 2017

14/08/2017
Njia rahisi zaidi kusoma gazeti lako la   kwenye mtandao kwa bei chee kabisa. Tembelea www.epaper.mcl.co.tz ujisajili sa...
07/04/2017

Njia rahisi zaidi kusoma gazeti lako la kwenye mtandao kwa bei chee kabisa. Tembelea www.epaper.mcl.co.tz ujisajili sasa na kusoma gazeti mahali popote, wakati wowote.

ABASHABIKI BA BUKOBA BUANA!SIMBA ipo Kagera karibu wiki na siku zote mvua lazima inyeshe ndani ya mkoa huo, lakini Mcame...
02/04/2017

ABASHABIKI BA BUKOBA BUANA!

SIMBA ipo Kagera karibu wiki na siku zote mvua lazima inyeshe ndani ya mkoa huo, lakini Mcameroon Joseph Omog ameshangazwa na wingi wa mashabiki waliowakuta huko.

Mbali na mashabiki hao, Omog amefurahi kuona ubora wa sehemu ya kuchezea ya Uwanja wa Kaitaba ambao ulitengenezwa kutokana na mradi wa Fifa na kusisitiza lazima wawachape Kagera. Omog alisema: “Tangu tumefika hapa Bukoba, mvua inanyesha kila siku lakini tunaishi kwa amani na mashabiki ni wengi na wanatusapoti kupita kiasi. Hali ya uwanja wa kuchezea ni mzuri jambo ambalo licha ya mvua hizo kunyesha wakati wote, sehemu ya kucheza haija hathirika na tunachowaambia mashabiki tutafanya vizuri.”

http://www.mwanaspoti.co.tz/Soka/Abashabiki-ba-Bukoba-buana-/1799484-3873108-5i0sr8/index.html

SIMBA ipo Kagera karibu wiki na siku zote mvua lazima inyeshe ndani ya mkoa huo, lakini Mcameroon Joseph Omog ameshangazwa na wingi wa mashabiki

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255788135650

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KABAK MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share